Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mwingine ana pomboo moja 🤣🤣🤣Mara mwingine kakataa kuoga..
Mara umekutana na lidude
Mara umekutana na lijitu
Mara kimoja tu hajaaamka wewe huyo vyote hivyo 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingine ana pomboo moja 🤣🤣🤣Mara mwingine kakataa kuoga..
Mara umekutana na lidude
Mara umekutana na lijitu
Mara kimoja tu hajaaamka wewe huyo vyote hivyo 😄
Aaah kudadadeki 😆🤣Mwingine ana pomboo moja 🤣🤣🤣
Na moto akakupelekea kama kawaida 😆🤣Mwingine ana pomboo moja 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Hayo maneno ya waja wa kijiwe nongwa me sijawai kukutana navyoNa moto akakupelekea kama kawaida 😆🤣
WeweSema kimeumana[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Hapo nawaza, alipochomeka ukuni sijui ulikuwa kwenye hali gani. Sijui na wenyewe ulisinyaa!!!?[emoji23][emoji23][emoji23] Nini iki?
Muswaki unatumia wiki unatupa wakati huku mtaani wanatumia mwaka mzimaHiii ya kunuka mdomo niwape mbinu, Mimi nilikuwa na mdada nzuriii shida mdomo unanuka hatari, siku nikiwa naye tukapita dukani, nikanunua dawa ya meno katoni, miswaki katoni
Akauliza mbona mingi? Nikamwambia tunagawana!! Napenda sana kupiga mswaki kila wakati, jaribu na wewe jizoeshe kupiga mswaki asubuhi mchana na jioni, mswaki ujitumika wiki 1 utupe chukua mwingine !!
Hiii ndio ikawa PONA PONA yangu yuko vizuri hadi kesho[emoji23]
Hahaaaaa nimecheka sana.Wakati wa kugegeda anatamka maneno haya nakuu ".........CCM MBERE KWA MBERE".
NB: MBERE=MBELE
sijawahi kumwambia kuhusu hili.
Hahaaaaa, mteja wako huyo mzee wa kilinge cha msata.Ushirikina! Yani ilikuwa hata akiona sisimizi anasema ni uchawi