Ni aibu Graduate wengi kumaliza chuo hawezi kujitegemea. Nashauri wasipewe vyeti hadi kuwe na ushahidi wa kujitegemea

Unachuki na wahitimu wa chuo kikuu ?
Hawajielewi kichwani hamnamo yupo radhi akuombe akuombe 5k abeti lakini sio kukuomba umfundishe namna ya kuipata hiyo hela.

kuna dogo nilimwambia aje ahudumie kuku wangu ili apate walau uzoefu huku namlipa na mwisho wa mkataba nita mnunulia vifaranga 200 aanze kufuga kuku sasso akakataa akasema hawezi ameshatuma maombi ya kazi hivo anasubiria.

nilimshangaa sana yaani kumlipa nimlipe halafu bado nakuja na kumpa vifaranga 200 kama mtaji wake na ni baada ya miezi4 tu akakataa. mtu kama huyo utamuweka kundi gani?
 
Wewe unajielewa ?
 
Back
Top Bottom