Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hizi fedha anazotumia kuteua angenunua machine za kutoshaTufanye harambee watu wa Mbeya tuwanunulie hizo machine madaktari wetu. Pesa ndogo sana hiyo tukiamua wenyewe. Kwa mfano tuchange nusu serikali imalizie nusu. Wananachi inabidi tuonyeshe kukerwa kwa vitendo badala ya kunung'unika mitaani. Hakuna tofauti na wananchi kujitolea kujenga shule na serikali kuchangia mabati.