Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza imetelekezwa...
Mwanza imetelekezwa...
Huduma nyingi za kijamii mwanza ni tia maji Sana.
Wewe unasema wiki! Kuna maeneo (sahwa) kina mama wanalala usiku kucha mabondeni kuchota maji. Watu wananyanganyana maji na mgedere, eti ni jiji. Ni hatari, mengine wamejaribu ila maji yamewashinda. Hatuna wabunge na hatuna madiwaniHivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji?
Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao kazi yao ni ku issue tu bill kila mwezi na hakuna maji.
Hivi Mungu angetupa ukame tungeweza kuhimili kama maji yapo na tunashindwa kusambaza.
Serikali hii imechoka kabisa.
Wabunge si wapo Mabula mwanamke na uwaziri kapewa na Mabula mwanaume yule anayejikomba apewe hata unaibu lakini shule tuu ndiyo kikwazo?Wewe unasema wiki! Kuna maeneo (sahwa) kina mama wanalala usiku kucha mabondeni kuchota maji. Watu wananyanganyana maji na mgedere, eti ni jiji. Ni hatari, mengine wamejaribu ila maji yamewashinda. Hatuna wabunge na hatuna madiwani