Ni aibu Jiji la Mwanza siku 7 bila maji na Ziwa Victoria bado halijakauka

Labda keki kubwa inapelekwa mchambawima, who knows?
 
Mwanza imetelekezwa...
Mwanza imetelekezwa...

Huduma nyingi za kijamii mwanza ni tia maji Sana.

Mmependelewa Muda Mrefu Sana Now Ni Zam Ya Wengine,hilo Daraja Limekula Hela Zetu Nyingi Sana,mtaleta Hadi Mabandiko Kwa Kisukuma Humu Lakini Haita Saidia.
 
Wewe unasema wiki! Kuna maeneo (sahwa) kina mama wanalala usiku kucha mabondeni kuchota maji. Watu wananyanganyana maji na mgedere, eti ni jiji. Ni hatari, mengine wamejaribu ila maji yamewashinda. Hatuna wabunge na hatuna madiwani
 
Wabunge si wapo Mabula mwanamke na uwaziri kapewa na Mabula mwanaume yule anayejikomba apewe hata unaibu lakini shule tuu ndiyo kikwazo?
 
Maeneo kama sawha ya juu na chini wananchi wanaishi kama kenge maana muda wote wako kwenye haka kabonde ambako nako kamekauka sasa. Kiukwel hali ni mbaya sana magomvi yasiyoisha kwa wamama wakigombea maji kutwa nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…