DOKEZO Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwamposa angejichukulia point hapo... akawatengenezea vizuri sana na akawajengea na bonge la kituo cha daladala!

Wananchi wenyewe wangemtaka agombee ubunge bila hata kutaka
 
Mwamposa angejichukulia point hapo... akawatengenezea vizuri sana na akawajengea na bonge la kituo cha daladala!

Wananchi wenyewe wangemtaka agombee ubunge bila hata kutaka
Kujenga sehemu kama hiyo wala siyo fedha ya kutisha. Ila ndiyo hivyo tena, ma-fisi-em wamezoea kula bata na wananchi wameshazoea mateso.
 
Dah kawe imetelekezwa nadhani kwa sababu ya yule dada aliyekuwa mbunge wao
Ila hata mbunge wao wa sasa anashindwa kupeleka hoja bungeni kweli??
 
LEO MAKONDA AMEPELEKA MAKATAPILA 22 KAWE.
 
Jimbo la kawe ni jimbo lenye barabara za hovyo mno. Gwajima akiweza kuweka ata mitaro tu barabara za kawe, mbezi beach, Kunduchi beach, bahari beach, ununio beach mpaka huko bunju itamsaidia kurudi bungeni.
 
Dah kawe imetelekezwa nadhani kwa sababu ya yule dada aliyekuwa mbunge wao
Ila hata mbunge wao wa sasa anashindwa kupeleka hoja bungeni kweli??
Imetelekezwa na ccm hata sasa hivi. Ni bora tu jimbo lirudi upinzani tutelekezwe zaidi kuliko kuwapa wakoloni wa kijani wakati hawatusaidii. Majumba mazuri mazuri barabara ni swamps za kulima mpunga. Hakuna tofauti ya barabara za jimbo la kawe na swamps za mpunga ifakara na dakawa huko.
 
ukiwauliza utaskia mimi mjanja naishi Daslamu mimi kumbe mpuuzi tu ni kama anakaa kwenye banda la bata SHAME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…