Ni aibu, kila kitu unauliza kwa "jamaa yako"

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Unakuta mwanaume kila analotaka kufanya anakimbilia kwa mwanaaume mwenzie kuomba ushauri, kwamba anashindwa kua na msimamo kwamba nimeamua hiki nitafanya hiki lakini kutwa kumkimbilia mwanaume mwenzie..iwe ni masuala ya kimaisha au ya kifamilia.

Inaenda mbali zaidi pale ambapo hata yale ya ndani ya ndoa au mahusiano kila akikwama anampigia simu what so called "jamaa yake" ili amwambie cha kufanya..hajamridhisha mke wake anakimbilia kwa "jamaa yake" kuomba ushauri, unakuta asilimia 93% ya mambo ambayo yalipaswa yabaki ndani ya ndoa yake na mkewe anaayotoa nje kwa "jamaa yake", sasa huu ni uanaume gani?.au wa jina tu..wanaaume wa aina hii wanafaa wapigwe risasi mana wanachafua cheo cha kuitwa mwanaume nonsense kabisa...akitaka kununua kitu anampigia "jamaa yake", akitaka kutoka out na mkewe anampigia simu "jamaa yake", ndio mana haishangazi kuona viwango vya "gays" vikiongezeka nchini, something must be done before its too late.

Ndio mana haishangazi pia nowdays wanaume wanaitana "dear", wakitembea wanashikana mikono,,wakika kuongea wanawekeana mikono kwenye mabega na kwenye upaja, kila kitu ooh jamaa yangu jamaa yangu ngoja nimuulize jamaa yangu, mke wangu sijui nimpe stail gani ngoja nimpigie jamaa yangu

This is utterly NONSENSE.
 
Kweli.Ila mimi simtegemei jamaa nafanya vyangu kivyangu yaani Mimi ndo mwenye maamuzi.
 
Hizo kitu ulizoandika hapo juu siyo za kweli, umeandika nonsense. Haiwezekani uchukue Tania za shoga useme ndo Tabia za wamaume wote.

Ni sawa na mimi nichukue Tabia za mwanamke kahaba halafu nifanye general comment eti ninyi nyote ni kahaba.
 
Inawezekana wapo wanaofanya hayo alichokosea n kutokusema wote
 
soma thread vizuri utaelewa usikurupuke hamna mahali nimesema wanaume wote
 
Naomba nikabidhiwe hiyo binduki tafadhali ili niwe mmoja wa kuwapiga hizo risasi

Wanaume wa ivo wanaboa sana
 
Inawezekana wapo wanaofanya hayo alichokosea n kutokusema wote

Umeona nilicho quote?

- Kuhusu kutomfikisha mke wake halafu aombe ushauri kwa rafiki!

- Wanaume kuitana baby, kutembea wameshikana mikono, kuwekeana mikono mapajani!

Kuchukua sample space ya shoga halafu anakuja ma general comment.
 
soma thread vizuri utaelewa usikurupuke hamna mahali nimesema wanaume wote

Nimesoma thread vizuri, nimecopy baadhi ya vitu ambavyo ni strict no for men halafu wewe umesema eti huyo mume wako anavifanya.

Umeolewa na shoga if that is the case
 
Hizo kitu ulizoandika hapo juu siyo za kweli, umeandika nonsense. Haiwezekani uchukue Tania za shoga useme ndo Tabia za wamaume wote.

Ni sawa na mimi nichukue Tabia za mwanamke kahaba halafu nifanye general comment eti ninyi nyote ni kahaba.
Mkuu kuna jamaa jaan amesema uzi ** Anakimbiwa na wanaume sababy ana UCHI WA BARIDI**.

mtoa mada hajakosea kuna watu ni malofa sana, unawezaje kutoa mambo ya ndani ya mwanamke wako???? .

Unajua kuna ule ushikaj wa kukaa nakupeana story,sasa hapo kuna jamaa huwa wanaongea vitu mpaka unajiuliza uyu jamaa ana umri gan???

Habari yako Mkuu!!
 
Huwa tunashindwa kutofautisha kati ya WANAUME na wanaume!! Ukiweza kutofautisha hapo hayo uloandika utaona ni ya kawaida kabisaaa!!
 
Habari iko okay, isipokuwa mwandishi kwenda kwenye extent ya kusema ndo maana siyo ajabu wanaume kuitana dear, kuwekeana mikono mabegani.

Point yangu ni kwamba hao wa hivyo siyo wanaume.
 
Nimesoma thread vizuri, nimecopy baadhi ya vitu ambavyo ni strict no for men halafu wewe umesema eti huyo mume wako anavifanya.

Umeolewa na shoga if that is the case
mbona unatukana na kupaniki imekugusa? halafu smahan sana mimi ni mwanaume tuheshimiane. hakuna mahal nimesema neno "mume wangu" ...kama unataka matusi sema boss nimezaliwa in hood
 
ukiona watu wamepanik na hii mada basi kwa 98% wanafanya hayo mambo

nipe tano kwa kuelewa boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…