Ni aibu, kila kitu unauliza kwa "jamaa yako"

Ni aibu, kila kitu unauliza kwa "jamaa yako"

Habari iko okay, isipokuwa mwandishi kwenda kwenye extent ya kusema ndo maana siyo ajabu wanaume kuitana dear, kuwekeana mikono mabegani.

Point yangu ni kwamba hao wa hivyo siyo wanaume.
hata wa kuomba ushauri mambo ya ndani ya ndoa sio wanaume, hata kuongea na mwanaume mwenzio kabla ya kuchukua mamuzi wewe kama wewe sio mwanaume
hata ukitaka kununua kitu unampigia simu mwanaume mwenzio unamuuliza sio uanaume kwanini kila jambo unalotaka kufanya lazima umulize mwanaume mwenzio
 
Ni watu wachache sana wameweza kuwajua "cofidants wao"na kuweza kuwatumia vizuri.
 
mbona unatukana na kupaniki imekugusa? halafu smahan sana mimi ni mwanaume tuheshimiane. hakuna mahal nimesema neno "mume wangu" ...kama unataka matusi sema boss nimezaliwa in hood

Sorry boss, I thought you are talking about your husband.

Nimetafuta gender before writing that ila sikuiona, nikafanya assumption.

So who are you in this triangle, wewe ndo huyo mshauri?
 
hata wa kuomba ushauri mambo ya ndani ya ndoa sio wanaume, hata kuongea na mwanaume mwenzio kabla ya kuchukua mamuzi wewe kama wewe sio mwanaume
hata ukitaka kununua kitu unampigia simu mwanaume mwenzio unamuuliza sio uanaume kwanini kila jambo unalotaka kufanya lazima umulize mwanaume mwenzio

Baada ya wewe kuniambia kwamba ni mwanaume nimefuta kauli zangu zote za mwanzo.

Naassume kwamba umeongea kwa sababu ya uzoefu, umeona moja kwa moja au umehusika kwenye hiyo triangle.
 
huu ulioandika pia sio uwanaume.....kama kuna mtu kakukera huko mtaani kamchane live and direct,kuna uvulana na uwanaume, huu ulio andika ni uvulana.
 
Unakuta mwanaume kila analotaka kufanya anakimbilia kwa mwanaaume mwenzie kuomba ushauri, kwamba anashindwa kua na msimamo kwamba nimeamua hiki nitafanya hiki lakini kutwa kumkimbilia mwanaume mwenzie..iwe ni masuala ya kimaisha au ya kifamilia.

Inaenda mbali zaidi pale ambapo hata yale ya ndani ya ndoa au mahusiano kila akikwama anampigia simu what so called "jamaa yake" ili amwambie cha kufanya..hajamridhisha mke wake anakimbilia kwa "jamaa yake" kuomba ushauri, unakuta asilimia 93% ya mambo ambayo yalipaswa yabaki ndani ya ndoa yake na mkewe anaayotoa nje kwa "jamaa yake", sasa huu ni uanaume gani?.au wa jina tu..wanaaume wa aina hii wanafaa wapigwe risasi mana wanachafua cheo cha kuitwa mwanaume nonsense kabisa...akitaka kununua kitu anampigia "jamaa yake", akitaka kutoka out na mkewe anampigia simu "jamaa yake", ndio mana haishangazi kuona viwango vya "gays" vikiongezeka nchini, something must be done before its too late.

Ndio mana haishangazi pia nowdays wanaume wanaitana "dear", wakitembea wanashikana mikono,,wakika kuongea wanawekeana mikono kwenye mabega na kwenye upaja, kila kitu ooh jamaa yangu jamaa yangu ngoja nimuulize jamaa yangu, mke wangu sijui nimpe stail gani ngoja nimpigie jamaa yangu

This is utterly NONSENSE.
Dawa yake ni "kumuunganisha mkewe na kifurushi cha mwaka"ataelewa tyu.raha iwe "yatosha bando"
 
Back
Top Bottom