Ni aibu, kila kitu unauliza kwa "jamaa yako"

Habari iko okay, isipokuwa mwandishi kwenda kwenye extent ya kusema ndo maana siyo ajabu wanaume kuitana dear, kuwekeana mikono mabegani.

Point yangu ni kwamba hao wa hivyo siyo wanaume.
hata wa kuomba ushauri mambo ya ndani ya ndoa sio wanaume, hata kuongea na mwanaume mwenzio kabla ya kuchukua mamuzi wewe kama wewe sio mwanaume
hata ukitaka kununua kitu unampigia simu mwanaume mwenzio unamuuliza sio uanaume kwanini kila jambo unalotaka kufanya lazima umulize mwanaume mwenzio
 
Ni watu wachache sana wameweza kuwajua "cofidants wao"na kuweza kuwatumia vizuri.
 
mbona unatukana na kupaniki imekugusa? halafu smahan sana mimi ni mwanaume tuheshimiane. hakuna mahal nimesema neno "mume wangu" ...kama unataka matusi sema boss nimezaliwa in hood

Sorry boss, I thought you are talking about your husband.

Nimetafuta gender before writing that ila sikuiona, nikafanya assumption.

So who are you in this triangle, wewe ndo huyo mshauri?
 

Baada ya wewe kuniambia kwamba ni mwanaume nimefuta kauli zangu zote za mwanzo.

Naassume kwamba umeongea kwa sababu ya uzoefu, umeona moja kwa moja au umehusika kwenye hiyo triangle.
 
huu ulioandika pia sio uwanaume.....kama kuna mtu kakukera huko mtaani kamchane live and direct,kuna uvulana na uwanaume, huu ulio andika ni uvulana.
 
Dawa yake ni "kumuunganisha mkewe na kifurushi cha mwaka"ataelewa tyu.raha iwe "yatosha bando"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…