Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Taifa letu linarudishwa nyuma sababu ya kuwa na wanasiasa wanaojali upuuzi huku wakipoteza kodi za watanzania kujadili masuala yasiyo na na maana Bungeni.
Yaani mtu akiwa Mbunge ndio watumishi wake wasikamatwe kwa kupakia samaki waliovuliwa kinyume na sheria?
Askari gani ambae hana weledi mpaka akamate basi zima kwa kubeba samaki watatu wa mboga?
Kama watumishi wa mbunge wamefanya makosa kwa nini wasichukuliwe hatua?
Wabunge kama hawa ndio sababu ya taifa letu kukwama kimaendeleo.