Chama Cha MazezetaTaifa letu linarudishwa nyuma sababu ya kuwa na wanasiasa wanaojali upuuzi huku wakipoteza kodi za watanzania kujadili masuala yasiyo na na maana Bungeni.
Yaani mtu akiwa Mbunge ndio watumishi wake wasikamatwe kwa kupakia samaki waliovuliwa kinyume na sheria?
Askari gani ambae hana weledi mpaka akamate basi zima kwa kubeba samaki watatu wa mboga?
Kama watumishi wa mbunge wamefanya makosa kwa nini wasichukuliwe hatua?
Wabunge kama hawa ndio sababu ya taifa letu kukwama kimaendeleo.
Jiwe gizaniHaya yanatoka wapi tena?
Acha kusingizia askari wetu samaki watatu ni wa mboga tuMusukuma amedai samaki ni watatu, wewe unaona ni sawa kama jambo hili ni sahihi ? umekuja kumu attack tu Musukuma hapa,Askari anayekamata bus kisa samaki watatu kama ni kweli basi hana weledi
Watu wa gairo hawasiki hawambiwi kwa shabibyVp shabiby na aboud wapo kwenyee kundi la mbuge km huyu msukumaaa,,,naulizaa tuuu!!!! Nn cha maana anachowafanyia wale wananchi wakeee!!!!!!