Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini.
Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu.
Kwa nini huyu Madevu na Phd yake asimshauri mkuu wa nchi kuwa na migodi ya kati kama mitano ili kuongeza mapato kuliko kukamua tozo hadi kwenye umiliki wa line za simu. Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu.