Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini.

Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu.

Kwa nini huyu Madevu na Phd yake asimshauri mkuu wa nchi kuwa na migodi ya kati kama mitano ili kuongeza mapato kuliko kukamua tozo hadi kwenye umiliki wa line za simu. Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu.
 
Kwani malaya anapataje pesa? Toka lini malaya akawaza kufanya kazi au kuwa na mradi mkubwa ili apate pesa?
 
Vilaza wachimbe dhahabu, kisha wakipata hela wataenda kununua mashangingi 😂

Ungejua kuwa hata matumizi ya dhahabu hawayajui, hawana elimu yoyote kuhusu dhahabu, so beberu aendelee tu kuchukua dhahabu na kuipeleka kwao
 
Dhahabu zilisha ibiwa na mikataba iliyosainiwa hotelini huku wakifanyiwa massage na Rihanna!!


Cha msingi ni hiki hapa;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya"
 
Back
Top Bottom