Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
Kwa kuzingatia kipato cha eneo husika. Kama ulichepuka somo la Economics madhara yake ndo kuuliza upuuzi kama huu.Hivi Kiingilio huwa kinapangwa kwa kuzingatia hali ya Uchumi wa eneo husika na Watu husika kwa Kipindi husika au huwa kinapangwa kwa kuzingatia aibu?
Kwa kuzingatia kipato cha eneo husika. Kama ulichepuka somo la Economics madhara yake ndo kuuliza upuuzi kama huu.
Ukubwa wa timuMimi sijui wanaangalia nini.....
Sasa unavyosema sibu.. Ni aibu ya nn sasa, mbona hueleweki... Gent, amejaribu kutoa ufafanuzi mzurMimi sijui wanaangalia nini.....
Duuh 1000 aka buku,au Atown hakuna wapenda soka?Mji wa watu wanaopenda nyama na beer wanalipa buku????Big NO
Bangi na music duuu
uwanja ulijaa
hata zingekuwepo ungejaa tu Arusha kuna wana Singida kibao sana wanaoipenda timu yao ya nyumbani