Ni aibu kubwa kwa wana Arusha kuwekewa kiingilio kama hiki

Ni aibu kubwa kwa wana Arusha kuwekewa kiingilio kama hiki

Hivi Kiingilio huwa kinapangwa kwa kuzingatia hali ya Uchumi wa eneo husika na Watu husika kwa Kipindi husika au huwa kinapangwa kwa kuzingatia aibu?
Kwa kuzingatia kipato cha eneo husika. Kama ulichepuka somo la Economics madhara yake ndo kuuliza upuuzi kama huu.
 
Ni suala ambalo lipo wazi kuhusu mkoa wa Arusha kutoshiriki kwa kipindi kirefu katika mashindano mbalimbali ya ngazi zote za ligi, kiingilio hicho ni kama kuamsha hamasa ya wapenda soka ndani ya jiji la Arusha! Kiingilio kingekuwa kikubwa wasingeona mtu anang'aa pale kulingana na hali ya uchumi ilivyo!
 
Arusha weka kuanzia elf 20 mzunguko vip 30 utajaa wee ila ulete timu kama everton na yanga
 
Duuh 1000 aka buku,au Atown hakuna wapenda soka?Mji wa watu wanaopenda nyama na beer wanalipa buku????Big NO

Kwa taarifa yako watu wa Arusha wanapenda soka sana hasa la viwango vya kimataifa sio hilo la simba na yanga la ushirikina na mizengwe mbele. Mimi na upenzi wangu wa soka hata uniambie simba na yanga kiingilio ni bure siendi.
 
Bangi na music duuu

Hata hicho kiingilio ni kikubwa ukizingatia watu wanaangalia soccer la ulaya lenye kiwango huku wakinywa soda kwa hiyo elfu? Nani ana muda wa kwenda kuangalia soka la kiwango duni kwa zaidi ya 1000?
 
Hata hicho kiingilio ni kikubwa ukizingatia watu wanaangalia soccer la ulaya lenye kiwango huku wakinywa soda kwa hiyo elfu? Nani ana muda wa kwenda kuangalia soka la kiwango duni kwa zaidi ya 1000?
uwanja ulijaa
 
Ulijaa maana hakukuwa na ligi za ulaya ambazo ndio zina mashabiki wengi.
hata zingekuwepo ungejaa tu Arusha kuna wana Singida kibao sana wanaoipenda timu yao ya nyumbani
 
hata zingekuwepo ungejaa tu Arusha kuna wana Singida kibao sana wanaoipenda timu yao ya nyumbani

Hilo sipingi kwani ni kweli uwanja ungejaa na sababu iliyofanya ujae ni ile hamasa iliyo kuwepo kupitia matangazo mbalimbali. Lakini kama ingekuwa ni timu hizohizo lakini kwa pambano la ligi, watu wangekuwa wa wastani tu. Kwa bahati mbaya watu wa Arusha hawana hamasa ya soccer hasa hili la kiwango duni.
 
Back
Top Bottom