Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Wakitaka uwanja ujae waseme Lema ndo mgeni rasmi, otherwise ni shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mabilionea
Arusha unaweza kufanya kiingilio bure na wasifike watu 100.Duuh 1000 aka buku,au Atown hakuna wapenda soka?Mji wa watu wanaopenda nyama na beer wanalipa buku????Big NO
Wale majamaa uwawekee kiingilio bure wanaweza wasifike hata 100. Afu sasa timu zenyewe zinazocheza wala hazina umaarufu kiviiile.aiseee hii ni ayubu(in panjuan voice) kwa mabillionaire wa Arusha aiseee
ukubwa wa mechiHivi Kiingilio huwa kinapangwa kwa kuzingatia hali ya Uchumi wa eneo husika na Watu husika kwa Kipindi husika au huwa kinapangwa kwa kuzingatia aibu?
Babu acha fiksi.. Sema tu team zenyewe za kiwaki ndio maana. Ingekuwa Simba na Yanga tungeenda. Hiyo tenga kumi kuliko nikaangalie mechi ya kuduanzi kama hiyo bora ninunue bombadier langu na pull zangu mbili nilipuke maghetoniArusha unaweza kufanya kiingilio bure na wasifike watu 100.
Unamaradhi wewe kapimwe. Arusha unaisikia tu wala huijui. Tembea uone. Yani Arusha hata wale machokoraa watoto wa dampo hawakosi tenga dala kwa siku sembuse watu wanaojielewa? Acha upuuzi mkuuNi sawa kwa mji wa Arusha kwakuwa huko wachache wanapesa nyingi wamewekewa kiingilio cha juu, na wengi hawana pesa za kukidhi mahitaji yao ya kila siku, ndio maana wamewekewa kiingilia cha Elfu moja.
Ni sawa kwa mji wa Arusha wanataka kila mpenda michezo aione hiyo mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa.
Ndo maana nikamalizia kwa kusema timu zemyewe hizo hata wakisema kiingilio bure bado watu hawataenda.Babu acha fiksi.. Sema tu team zenyewe za kiwaki ndio maana. Ingekuwa Simba na Yanga tungeenda. Hiyo tenga kumi kuliko nikaangalie mechi ya kuduanzi kama hiyo bora ninunue bombadier langu na pull zangu mbili nilipuke maghetoni
Mbona unatutukana Aise.Arusha yenyewe wala siyo watu wa soccer kule wapeleke maonesho ya utalii labda na mihadarati.
Mabilionnaire