Kwa kweli inaudhi sana shughuli zinadorora joto limezidi unatafuta maji uoge kupoza mwili unakuta haypo unataka uwashe feni ili ikupepee umeme hamna serikali inataka kusingizia maji kumbe maji yapo sasa tumechoka njooni na suluhu sio kutuzugazuga tu!!