Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Nov 26, 2018 #21 Mgagaa na Upwa said: Arudi mara ngapi,unadhani vijana wanavyoruka na mwewe kule kanda ya ziwa na kukaa hotel za kifahari ni jeuri ya nani!? Click to expand... Kama jeuri ya manji mbona mishahara mpaka leo hawalipwi yaani nyie bwana ni manji tuuuu
Mgagaa na Upwa said: Arudi mara ngapi,unadhani vijana wanavyoruka na mwewe kule kanda ya ziwa na kukaa hotel za kifahari ni jeuri ya nani!? Click to expand... Kama jeuri ya manji mbona mishahara mpaka leo hawalipwi yaani nyie bwana ni manji tuuuu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Nov 26, 2018 #22 Mgagaa na Upwa said: Mkwe bhana,ikawaje mrembo km ww kupenda timu la waganga wa kienyeji!? Click to expand... Niache na timu yangu bamkwe ndio nimeipenda
Mgagaa na Upwa said: Mkwe bhana,ikawaje mrembo km ww kupenda timu la waganga wa kienyeji!? Click to expand... Niache na timu yangu bamkwe ndio nimeipenda
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 13,481 Reaction score 28,116 Nov 26, 2018 #23 Subiri dec 1 ndio utaifahamu vzr Yanga Shunie said: Kama jeuri ya manji mbona mishahara mpaka leo hawalipwi yaani nyie bwana ni manji tuuuu Click to expand...
Subiri dec 1 ndio utaifahamu vzr Yanga Shunie said: Kama jeuri ya manji mbona mishahara mpaka leo hawalipwi yaani nyie bwana ni manji tuuuu Click to expand...
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 13,481 Reaction score 28,116 Nov 26, 2018 #24 Shunie said: Niache na timu yangu bamkwe ndio nimeipenda Click to expand... Vijana wa kazi hao,mida hii wanakwea pipa mwanza to dar
Shunie said: Niache na timu yangu bamkwe ndio nimeipenda Click to expand... Vijana wa kazi hao,mida hii wanakwea pipa mwanza to dar