Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Hivi walitumia vigezo gani walitumia kumchagua uyu ndugu karia
RAIS wa taasisi kubwa kama tff anashindwa kushwawishi wadhamin kuja kuwekeza pale
Yaani yupo yupo tu na program anazozileta zisizo kuwa na impact
Ligi imechezwa nusu lakini hata dalili ya sponsor Hakuna
Njaa ya vilabu vya ligi kuu imekua kali zaidi Hali inayosababisha ligi kudorora
Yaani toka Tenga ameondoka tff imezidi kudidimia
Wakati wa Tenga ligi ilichangamka mpira ulipiga hatua, timu ya Taifa ilionesha uhai
Akaja yule mzee malinzi akahatibu huyu naye sioni anachofanya
Sasa kama Rais hawezi kushawishi wadhamin atawezaje kusimamia mpira ukachezwa?
Hivi huyu mtu ilikuaje akaingia kwenye mpira? Anaujua kweli mpira au mpigaji tu
Yaani hii Tanzania yetu Ni pasua kichwa kwa kweli
Serikali imumulike huyu mtu isije kuwa anasubiria apate mdhamini ambaye atakuwa anapewa 10%
Kama naye anafanya hujuma wakati vilabu vinakula Vumbi ajumuishwe na malinzi