Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
CCM ni chama kikubwa hapa Africa na dunia nzima. Bahati nimezunguka mahala pengi hapa duniani. Ulikiwa ukienda Botswana, Zimbabwe au hata South Afriaca ulikuwa ukikutana na raia wa huko lazima wakuukize juu ya CCM ya akina Hashim Mbita (RIP) maana kilikuww ni chama kilichojaa utu na nia thabiti ya kumkomboa muafrika dhidi ya unyonyaji wa kila namna.
Leo hii CCM hii ya akina Hashim Mbita ambayo iliasisiwa ili kumkomboa mtanzannia dhidi ya unyonyaji wa kila namna ina wazee ambao wanaona furaha raia wanyonge kunyonywa.
Tulitegemea wazee kama Yusuph Makamba wawe wanapata kero taifa linapokiwa na tozo kandamizi, mgao wq umeme usio na kichwa wala miguu. Harufu za ufisadi zilizowazi. Maana huko nyuma misingi ya chama hiki ni kumbmkomboa mnyonge.