Ni aibu kwa Clouds TV kutokuelewa vigezo vya African Football League

Kwani kuna kipimo kingine cha mafanikio zaidi ya CAF 5 years ranking?
Hata ukichukua ya miaka 5 tu kama rekodi zilizoko Wikipedia ziko sahihi bado Enyimba anamzidi ASEC kwa kuwa na muendelezo mzuri.
 
Enyimba ni wa 33 wakati Asec yupo nyuma ya Yanga akiwa nafasi ya 19. Enyimba kazidiwa hadi na Rivers united. Kama ulikuwa hujui pole
 
Ahaaa ndugu acha utani Wikipedia usitumie basi kuanzia Leo mana ukiangalia kwa miaka 5 hii mtawalio asec yupo rank ya juu kumpita enyimba

Sawaa.

Binafsi ningependa TFF wangekaa wakatutolea ufafanuzi kwenye haya mashindano. Sina issue na kuhusu timu zilizochaguliwa ila ningependa kujua zaidi masuala mengine.
Caf nao ni binadamu wanaofanya maamuzi kuteleza kupo na mashindano machanga kadri tunavyoenda tutapata terms nzuri za kuendesha mashindano
 
SAYVILLE pamoja na mleta uzi aliyeshangaa watangazaji wa CLOUDS kutokujua taratibu za mashindano, waje watuambie kwanini Enyimba kapewa nafasi wakati kwenye rank kazidiwa na Rivers na Asec Mimosa.
 
Ahaaa ndugu acha utani Wikipedia usitumie basi kuanzia Leo mana ukiangalia kwa miaka 5 hii mtawalio asec yupo rank ya juu kumpita enyimba
SAYVILLE pamoja na mleta uzi aliyeshangaa watangazaji wa CLOUDS kutokujua taratibu za mashindano, waje watuambie kwanini Enyimba kapewa nafasi wakati kwenye rank kazidiwa na Rivers na Asec Mimosa.
Enyimba ni wa 33 wakati Asec yupo nyuma ya Yanga akiwa nafasi ya 19. Enyimba kazidiwa hadi na Rivers united. Kama ulikuwa hujui pole
Sijui nini msichoelewa. Nani aliwaambia AFL hii wameangalia ranking hizo mnazoziangalia nyie? Hiyo 5-year record haimbebi ASEC mbele ya Enyimba.

Kati ya 2018-2023, ASEC msimu pekee aliofanya vizuri kwa kuvuka hata hatua ya makundi ni msimu wa 2022-2023 walipofika nusu fainali kwenye shirikisho.

Enyimba msimu wa 2018 walifika nusu fainali shirikisho, misimu ya 2020 na 2021 wamefika robo fainali shirikisho.

Hapo juu nimeongelea sana kuhusu rekodi zenye muendelezo mzuri yaani consistency kama kigezo ambacho naamini kimetumika kuchagua hizo timu hii ni kuhakikisha timu siyo one hit wonder wakaenda kudhalilisha mashindano.

Ndiyo maana huwa mnapobeza robo fainali za Simba, wanaojua mambo huwa wanawashangaa. Afadhali kila siku uwe unaishia robo fainali kuliko leo unafika nusu fainali halafu kwa miaka 10 hata robo hauioni.
 
Sijui nini msichoelewa. Nani aliwaambia AFL hii wameangalia ranking hizo mnazoziangalia nyie? Hiyo 5-year record haimbebi ASEC mbele ya Enyimba.
.

Ingekuwa 5 years record haimbebi Asec, basi Enyimba ndiye angekuwa juu ya Asec.. Unasema hawangalii ranking haya niambie kipimo gani kingine cha mafanikio ya CAF ukiachana na ranking?
 
Wewe by nature ni mbishi tu leta Sasa ranking zako za 2018 Hadi 2023 zinazombeba enyimba weka kwenye jedwali kama tulivyoweka sisi . Na simba akuna aliyesema akustahili kuwa hapo acha kujificha kwenye kichaka Cha simba. AAA ety wazungumza robo na nusu za shirikisho wakati mtu wa fainali shirikisho point zake kwa msimu zinazidiwa na mtu wa robo champions league kwa msimu ata ukifanikiwa PATA hyo rank ya hyo miaka unayoforce wewe still mshindi atakuwa asec tafuta uone Mimi ninayo Hila tafuta ya kwako Wikipedia
 
Ingekuwa 5 years record haimbebi Asec, basi Enyimba ndiye angekuwa juu ya Asec.. Unasema hawangalii ranking haya niambie kipimo gani kingine cha mafanikio ya CAF ukiachana na ranking?
Nyie endeleeni kukaza mafuvu ila ndiyo nawapa elimu hivyo, amueni wenyewe mkae hivyo hivyo au muelimike.
 
Halafu cha ajabu hao makanjanja hawaulizi kwanini USM ambao ni mabingwa hawapo.
 
Ki ukanda, zingatia hili.
Kila ukanda wa kimpira lazima utoe timu.
Kwani Yanga na Raja au Berkane nani yupo juu?
Umewaona wakilia.
 
Sasa si uangalie enyimba yupo ukanda gani na wenzie walio ukanda huo nani yupo juu acha kuongea vitu usivovijua ndugu fanya research kwanza kabla ujaamua kuandika kitu kwanza
 
Umeitaja yanga Kwenye Comment Uliyoitaja, nimekujibu kulingana na Comment uliyoandika, Yanga hastahili kuwepo humu.
Hivyo sahau kuhusu Yanga then tutajadiliana vizuri tu.
Vigezo vipo vingi si kimoja kama unavyoandika humu.
 
Elimu sisi ndo tunakupa wewe mbishi shauri yako Hila najua tu umeelewa
Haunibishii mimi unaibishia CAF na rekodi zake. Mmeng'ang'ania habari za miaka 5, nimewawekea mafanikio ya miaka 5 ya timu zote mbili, kama unabisha niwekee mafanikio tofauti na hayo niliyoweka.
 
Umeitaja yanga Kwenye Comment Uliyoitaja, nimekujibu kulingana na Comment uliyoandika, Yanga hastahili kuwepo humu.
Hivyo sahau kuhusu Yanga then tutajadiliana vizuri tu.
Vigezo vipo vingi si kimoja kama unavyoandika humu.
Sidhan kama nimeitaja yanga ndugu
 
Haunibishii mimi unaibishia CAF na rekodi zake. Mmeng'ang'ania habari za miaka 5, nimewawekea mafanikio ya miaka 5 ya timu zote mbili, kama unabisha niwekee mafanikio tofauti na hayo niliyoweka.
Iko wapi weka kwa chart hapa Tuone kwenye uho ukanda enyimba na wenzie nani yupo juu weka tumalize utata ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…