BuDDaH MBiSHi
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 468
- 495
Wapo kanda moja....Je Rivers united na Asec Mimosa wanatoka kanda tofauti na aliyopo Enyimba? Au ni kanda moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo kanda moja....Je Rivers united na Asec Mimosa wanatoka kanda tofauti na aliyopo Enyimba? Au ni kanda moja?
Kama hoja yako ni point, niambie kati ya Enyimba na Asec Mimosa ni nani mwenye point nyingi? Au Rivers united na Enyimba ni yupi mwenye point nyingi?Wapo kanda moja....
Enyimba anamzidi points Asec.... Kwa Rivers vipo vigezo vingine kama club history, investments, management, equipments na mashabiki n.kKama hoja yako ni point, niambie kati ya Enyimba na Asec Mimosa ni nani mwenye point nyingi? Au Rivers united na Enyimba ni yupi mwenye point nyingi?
Naendelea kufuatilia why Enyimba.Sawa
Enyimba ana point ngapi na Asec ana point ngapi?Enyimba anamzidi points Asec.... Kwa Rivers vipo vigezo vingine kama club history, investments, management, equipments na mashabiki n.k
Ndo huyo Enyimba sasa aliyekidhi vigezo kama hutaki chukua timu yako ipeleke Kanda ya magharibi na inshaallah msimu ujao mnaeza shiriki AFL maana ndio ukanda dhaifu zaidi ukifuatiwa na ukanda wa kati kwa ngazi ya vilabu kwa hivi karibuni....Naendelea kufuatilia why Enyimba.
1.Enyimba anaingia kama replacement ya Horoya ambaye baada ya ukaguzi alifeli.
Hakufikisha Vigezo licha ya kuwa juu kwenye rank.
So utakapojadili kuhusu Enyimba, remember kuwa ni replacement ya Horoya ( If horoya angekuwa tayari kimiundombinu haya majadiliano Yasingekuwepo)
Enyimba yupo hapo kwa kuwa aliyekuwa rank ya Juu ( Horoya) hajakidhi vigezoEnyimba ana point ngapi na Asec ana point ngapi?
Mimi kwenye source nilizoona zimeonesha kuwa Asec ndio kamzidi Enyimba point.
Asec ni wa 19 ana point 20 huku Enyimba akiwa wa 33 akiwa na point 10.
CAF 5-year ranking - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Nashangaa maana sio kila mtu amesikilizaKabla ya kiwashambulia ulipaswa uje utuwelezee vigezo hivyo wasivyovijua wao na unavyovijua wewe... Inawezekana wewe ndio ukawa hujui kitu unakuja na mihemko ya k vant.
Hebu tutajie hivyo vigezo vilivyomfanya Enyimba kuwa super league au mazembe.
Bonanza sasa hilo1. Record ya miaka angalau 4 ya timu katika mashindano ya CAF.
2.Wingi wa mashabaiki , kwa ajili ya uuzaji wa tiketi.
NB:Sherehe nzuri ni ile yenye watu wengi.
Enyimba ana point ngapi na Asec ana point ngapi?
Mimi kwenye source nilizoona zimeonesha kuwa Asec ndio kamzidi Enyimba point.
Asec ni wa 19 ana point 20 huku Enyimba akiwa wa 33 akiwa na point 10.
CAF 5-year ranking - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Amna akuna mtu aliyebisha ukanda wa afrika mashariki kuwakilishwa na simba ndugu hoja sio hii nenda kwenye hoja ya ule ukanda kwa Nini ni enyimba na sio wengine uku utakua unapiga marktime tu
Tunajua bado mmeumia sana Yanga yenu kutojumuishwa. Mnatumia angle ya Enyimba kujaribu kuyadiscredit mashindano kuwa ni mashindano ambayo timu zimechaguliwa bila kuzingatia viwango wala rekodi zao. Mnadhani watu ni wajinga, nyie mnajua zaidi ya CAF? Nimewawekea mkeka wa miaka mitano wa hizo timu mbili, halafu niambie nani amekuwa na level za juu za mafanikio kwa mfululizo kuizidi Enyimba.Kuna sehemu nimeongelea kuhusu Yanga? Hoja ni Enyimba kwenye ukanda wake kazidiwa na Asec wewe umesema kuwa kwenye miaka 5 Asec hafurukuti kwa Enyimba kwa mafanikio. Sasa lete hiyo 5 years ranking yako ikionesha Enyimba yupo juu ya Asec.
So wamefata record ya mwaka 2003? wewe kweli akili zimo?Sijaelewa swali lako. Kama unataka kuwalinganisha na ASEC, angalia mafanikio ya Enyimba kati ya 2003-2021 na yale ya ASEC.
Kwanini asiwe ASEC Memosas au Rivers?Mwakilishi kutoka Kanda ya Magharibi...
Hiyo sio source ya uhakika![]()
CAF Ranking of African Clubs 2024 [UPDATED]
caf ranking of african clubs 2024, top ten african clubs 2024, best clubs in africa 2024 CAF Ranking of African Clubs 2024 [UPDATED]ligikuutz.com
Mbona unachanganya mada, usiwe mtu wa maneno mengi mara Yanga mara fainali za Simba. Baki kwenye msingi wa hoja yako. Onesha 5 years ranking ikimuonesha Enyimba yupo juu ya Asec Mimosa. Wikipedia inaonesha Asec ni wa 19.Tunajua bado mmeumia sana Yanga yenu kutojumuishwa. Mnatumia angle ya Enyimba kujaribu kuyadiscredit mashindano kuwa ni mashindano ambayo timu zimechaguliwa bila kuzingatia viwango wala rekodi zao. Mnadhani watu ni wajinga, nyie mnajua zaidi ya CAF? Nimewawekea mkeka wa miaka mitano wa hizo timu mbili, halafu niambie nani amekuwa na level za juu za mafanikio kwa mfululizo kuizidi Enyimba.
Yaani uache timu iliyofika robo fainali mara mbili na nusu mara moja ndani ya miaka 5 kwa timu ambayo imefika tu nusu mara moja? ASEC inaheshimika ila kwa jinsi mashindano haya ya awamu ya kwanza yalivyo, wasingeweza kuichukua over Enyimba. Hao Enyimba wameshinda Champions League mara mbili na Super Cup mara mbili, ndiyo Yanga mnataka mjilinganishe nao kwa fluke yenu ya mwaka jana tena hata ubingwa wenyewe hamkuchukua halafu kibaya zaidi shirikisho? Tuonyesheni wapi ASEC wanalalamika kwa nini hawajachaguliwa wao, nyie ndiyo mna uchungu kuliko wenye timu yao?
Wewe changaule si ndiyo ulikuwa unahoji fainali ya Simba kisa umemsikia commentator kwenye mechi, nikakwambia ingia kwenye official website ya CAF uangalie wameandika nini kuhusu rekodi za Simba ukagoma ili tu uendelee kupata cha kusema?
Mimi nimemalizana na huu mjadala, endeeeni na wengine.
Endelea mabishano na wenye muda huo mimi nimemaliza. Usisahau pia kuwatumia link inayoonyesha CAF wamesema rank ya miaka mitano imetumika kuchagua timu. Halafu mwenzio kashauri usitumie wikipedia kwa hiyo link hiyo iwe ya kutoka CAF.Mbona unachanganya mada, usiwe mtu wa maneno mengi mara Yanga mara fainali za Simba. Baki kwenye msingi wa hoja yako. Onesha 5 years ranking ikimuonesha Enyimba yupo juu ya Asec Mimosa. Wikipedia inaonesha Asec ni wa 19.
CAF 5-year ranking - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Baadhi ya vigezo alivyotoa Rais wa CAF kule Ivory Coast Ni pamoja na:Ni wewe tu umeamua kuwa mbishi unaweza kueleza kigezo cha Enyimba kushiriki hii michuano?
Unaiona Enyimba kwenye hizo criteria?Baadhi ya vigezo alivyotoa Rais wa CAF kule Ivory Coast Ni pamoja na:
1. Mfululizo wa mafanikio katika Misimu mitano ya karibuni ktk michuano ya CAF.
2. Wasifu wa timu na Fan base/wingi wa mashabiki.
Nb: hakuna haja ya kubishana Sana , Hakuna timu inaweza kuchaguliwa na taasisi kubwa km CAF halafu CAF wawe hawana vigezo. .
Upo sahihi kabisa.hiyo sio tv ya watu wazima, ni ya watoto.