Kwahiyo wewe una aina zako za 5 years ranking na CAF wana aina zao za 5 years ranking? Maana kama unatumia ya CAF basi weka hapa 5 years ranking ya CAF ikionesha Enyimba yupo juu ya AsecHaunibishii mimi unaibishia CAF na rekodi zake. Mmeng'ang'ania habari za miaka 5, nimewawekea mafanikio ya miaka 5 ya timu zote mbili, kama unabisha niwekee mafanikio tofauti na hayo niliyoweka.
Angalia comment yako niliyokuquote.Sidhan kama nimeitaja yanga ndugu
Hile ya kwanza kabisa nimeiona ni vile wewe ukunielewa ndo mana nilikujibu Tena pale ulivyoikoti nenda kairejee lile jibu alafu Anza kujengea hoja yako kuanzia kwenye lile jibu hili tusirudie madaAngalia comment yako niliyokuquote.
Sasa unataka Yanga ishiriki alafu na Simba nayo iwemo... we huoni kuwa hapo kila nchi imetoa Timu moja tu kwenye michuano. Sasa yanga iende kufanya nini kwenye Super league, wakati tayari kidume yupo...Kiukweli enyimba akustahili kuwepo timu zilizopaswa ziwepo ni hizi hapa Moja adi 8 kwenye hyo draft na kama Moja Hadi 8 kwenye hiyo draft kuna ambao wamejito kushiriki nafasi hilipaswa wapewe wanaowa fuatia yaani hata yanga anavigezo vikubwa vya kushiriki kumshinda enyimba yanga wa 17 enyimba wa 30 na si tumekubaliana tunaangalia top team around 5 years past enyimba kafikaje hapo unabisha nawe njoo na hoja zako tuzipime Tuone ukweli wake povu tu bila ushaidi nitakudunda makwenzi
Hata Mimi nawashangaa hoja Yao ni hii ya rank tunawaomba waziweke hapa hizi hizi wanazosiamini wao kuwa ndo kigezo zimetumika hili Tuone ukanda wa enyimba ni timu hili hipo juu awataki kuweka ,🤣🤣🤣🤣👊Kwahiyo wewe una aina zako za 5 years ranking na CAF wana aina zao za 5 years ranking? Maana kama unatumia ya CAF basi weka hapa 5 years ranking ya CAF ikionesha Enyimba yupo juu ya Asec
Ujaelewa mada acha kukurupuka kwa kusoma comment Moja soma zote kama unataka kuingia kwenye mjadala. Hivo vigezo vilivyotumika kuchagua timu wewe unavijua wamevisema caf viandike hapa vizuriiiiiii kabisa tuanzie hapo kivichambua kujiridhisha kwa timu Moja Hadi nyingine kama kweli vimezingatiwa kinyume na hapo auna hoja pumzikaSasa unataka Yanga ishiriki alafu na Simba nayo iwemo... we huoni kuwa hapo kila nchi imetoa Timu moja tu kwenye michuano. Sasa yanga iende kufanya nini kwenye Super league, wakati tayari kidume yupo...
Alafu kitu kingine punguzeni kuzozana mitandaoni, nenda kwenye page ya Facebook African Football League kawaulize hilo Swali huko. Au Ingia Google au YouTube utafute video yao wanayotoa ufafanuzi kuhusu kupanga Timu za kushiriki.
Kutafuta maarifa hamtaki, alafu mnakuja hapa kuhoji eti kwa nini Utopolo haijapangwa
Kwa kuwa tumeshakubaliana Yanga hakustahili kuwemo, kuanzia hapo sasa ndio tuna anza kujadili.Hile ya kwanza kabisa nimeiona ni vile wewe ukunielewa ndo mana nilikujibu Tena pale ulivyoikoti nenda kairejee lile jibu alafu Anza kujengea hoja yako kuanzia kwenye lile jibu hili tusirudie mada
SawaKwa kuwa tumeshakubaliana Yanga hakustahili kuwemo, kuanzia hapo sasa ndio tuna anza kujadili.
Kuna PDF flani lilikuweko Vigezo vya team kushiriki super league.
Navikumbuka baadhi kama
Ranking 5 yrs
Team ya wanawake.
Infanstructures kwenye nchi yako.
Msuli wa kifedha.
Uongozi bora.
Na Vingine vingi.
NIkiipata ntaileta hapa, pia unaweza itafuta hata wewe.
Kwahiyo wewe una aina zako za 5 years ranking na CAF wana aina zao za 5 years ranking? Maana kama unatumia ya CAF basi weka hapa 5 years ranking ya CAF ikionesha Enyimba yupo juu ya Asec
Kama mmeona Yanga yenu imeonewa nendeni mahakamani, msitujazie server bure hapa kwa makasiriko yenu yasiyo na kichwa wala mguu. Mnapewa data hamtaki, hatuna cha kuwasaidiaIko wapi weka kwa chart hapa Tuone kwenye uho ukanda enyimba na wenzie nani yupo juu weka tumalize utata ndugu
Acha dharau wewe kwenye Taaluma za watu, matokeo ya Secondary au Chuo sio kigezo cha kupima uelewa wa mtu... Uelewa wa mtu unapimwa kwa Experience ya mambo aliyokutana nayo... Sasa unazungumzia Division 4, wewe na Division 1 tukikupeleka ukachambue Soka au kutangaza kama hao watu wa habari ufiki hata chembe ya umahiri wao...Hakuna watu na taaluma yenye VILAZA hapa bongo km WATU WA HABARI. Kama unabisha taja jina la wenye walau ufaulu wa dv 2 HAKUNA. Woote ni dv 4 na ZIRO sasa watawezaje jua KUNA POINTS. Na hio timu wanayoitaja ina POINTS CHACHE
Moja wapo ya kigezo ni kuwa Nchi zinatoa Timu moja moja tu... Sasa kwani Yanga inaizidi kitu gani Raja Casablanca, mbona hakuuliza kwa nini Raja Casablanca Haimo...Ujaelewa mada acha kukurupuka kwa kusoma comment Moja soma zote kama unataka kuingia kwenye mjadala. Hivo vigezo vilivyotumika kuchagua timu wewe unavijua wamevisema caf viandike hapa vizuriiiiiii kabisa tuanzie hapo kivichambua kujiridhisha kwa timu Moja Hadi nyingine kama kweli vimezingatiwa kinyume na hapo auna hoja pumzika
Mwakilishi kutoka Kanda ya Magharibi...Ni wewe tu umeamua kuwa mbishi unaweza kueleza kigezo cha Enyimba kushiriki hii michuano?
Kuna sehemu nimeongelea kuhusu Yanga? Hoja ni Enyimba kwenye ukanda wake kazidiwa na Asec wewe umesema kuwa kwenye miaka 5 Asec hafurukuti kwa Enyimba kwa mafanikio. Sasa lete hiyo 5 years ranking yako ikionesha Enyimba yupo juu ya Asec.Kama mmeona Yanga yenu imeonewa nendeni mahakamani, msitujazie server bure hapa kwa makasiriko yenu yasiyo na kichwa wala mguu. Mnapewa data hamtaki, hatuna cha kuwasaidia
Amna akuna mtu aliyebisha ukanda wa afrika mashariki kuwakilishwa na simba ndugu hoja sio hii nenda kwenye hoja ya ule ukanda kwa Nini ni enyimba na sio wengine uku utakua unapiga marktime tuKama mmeona Yanga yenu imeonewa nendeni mahakamani, msitujazie server bure hapa kwa makasiriko yenu yasiyo na kichwa wala mguu. Mnapewa data hamtaki, hatuna cha kuwasaidia
Duhhh bado ujaelewa kabisaa yaani ndo unazidi kuchochora issue sio yanga ya yanga yanajulikana soma koment za karibu karibu mana kusoma zote uwezi mvivu then utakua umeelewa mada ndo uje kujengea hoja huko unapopatolea majibu atupo uko ndugu tuliama Toka Jana Leo tupo kwa mada nyingine kabisaMoja wapo ya kigezo ni kuwa Nchi zinatoa Timu moja moja tu... Sasa kwani Yanga inaizidi kitu gani Raja Casablanca, mbona hakuuliza kwa nini Raja Casablanca Haimo...
Sasa tayari Simba himo alafu unaauliza wametumia vigezo gani kuiacha Yanga... Kwani umeona Nchi gani yenye Timu mbili hapo
Iko hivi, CAF kwakuanza wamelenga kila ukanda utoe timu wakilishi. Kwahiyo kila ukanda yaani kanda ya Mashariki, Magharibi, Kati, Kaskazini na Kusini zimechukuliwa timu zenye point nyingi kuliko ukanda husika.Ni wewe tu umeamua kuwa mbishi unaweza kueleza kigezo cha Enyimba kushiriki hii michuano?
Ni wewe tu umeamua kuwa mbishi unaweza kueleza kigezo cha Enyimba kushiriki hii michuano?
Ni wewe tu umeamua kuwa mbishi unaweza kueleza kigezo cha Enyimba kushiriki hii michuano?
Je Rivers united na Asec Mimosa wanatoka kanda tofauti na aliyopo Enyimba? Au ni kanda moja?Iko hivi, CAF kwakuanza wamelenga kila ukanda utoe timu wakilishi. Kwahiyo kila ukanda yaani kanda ya Mashariki, Magharibi, Kati, Kaskazini na Kusini zimechukuliwa timu zenye point nyingi kuliko ukanda husika.
Ila ukanda wa Kaskazini ndo umepewa upendeleo kwasababu wanatimu nyingi zenye point nyingi.
Ndoivo sasa ila kama utaki basi endelea kukaza fuvu...
Hizi ni moja ya Sababu zizofanya Team hizo kuchaguliwa.Duhhh bado ujaelewa kabisaa yaani ndo unazidi kuchochora issue sio yanga ya yanga yanajulikana soma koment za karibu karibu mana kusoma zote uwezi mvivu then utakua umeelewa mada ndo uje kujengea hoja huko unapopatolea majibu atupo uko ndugu tuliama Toka Jana Leo tupo kwa mada nyingine kabisa