ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Papa Wemba na Koffi Olomide ukipigwa mziki wao kwenye uwanja wa vita M23 watakata mauno pamoja na jeshi la Congo.
Na vita kwisha kabisa watabaki Wanyarwanda tu kazi itakuwa kuwalisha tu, manake wembamba sana sijui njaa au ndio wana mitindo(modo)π€£
Hao batu abanatengeneza Njia ya Marekani kuja kuweka majeshi yake CongoHao walienda kulinda migodi ya madini
FACT100%Mitandaoni wanasema hao Wazungu ndio waliokuwa wanasomba Madini ya Kongo ππ