Ni Aibu kwa Congo DRC Nchi Yenye Watu Milioni 💯 Imeshindwa Kupigana na M23 Hadi Inakodi Wapiganaji wa Ulaya.

Ni Aibu kwa Congo DRC Nchi Yenye Watu Milioni 💯 Imeshindwa Kupigana na M23 Hadi Inakodi Wapiganaji wa Ulaya.

Papa Wemba na Koffi Olomide ukipigwa mziki wao kwenye uwanja wa vita M23 watakata mauno pamoja na jeshi la Congo.

Na vita kwisha kabisa watabaki Wanyarwanda tu kazi itakuwa kuwalisha tu, manake wembamba sana sijui njaa au ndio wana mitindo(modo)🤣
 
Hao walienda kulinda migodi ya madini
Hao batu abanatengeneza Njia ya Marekani kuja kuweka majeshi yake Congo
Bamewekeza US$500billion katika muproject inayohusisha AI. Kumu AI ni lazima kuwe na muchip. Muchip banatengeneza kwa rare earth inaptikana mucongo tyu.

Barafiki ya Trump wana hisa mingi kwa makampuni ya kuchimba madini, pamoja na hizi rare earth minerals. Itoshe hata yule mpiga salut wa mafshisti wa X nae ana ka Interest kake kwa ajili ya kutengeneza betry za magari zake, na ndio wapo mu cabinet🤑🤑🤑.

Kitakachofuatia musasa ni kuleta mujeshi hiyo kwa kichaka ya Peace through strength, kwa lugha ingine piga ua amani.😁🫠😜
Bameshatoa onyo, subiri kwa mu next week.

Afrika Mashariki inaenda kubadilika haraka, bila hata ya kupenda. Mukulu kule hamumunyi. Kaa kwa JF usikie.
 
Mitandaoni wanasema hao Wazungu ndio waliokuwa wanasomba Madini ya Kongo 😁😆
 
Back
Top Bottom