Ni aibu kwa diamond kubambikiziwa mtoto

Ni aibu kwa diamond kubambikiziwa mtoto

Hakuna tabia chafu na ya kisenge kama kufuatilia maisha ya mtu tena aliyetusua. Sifikirii kama huu uzi umeandikwa na mtu wa mikoani.
Mkuu vipi! Za masiku! Usikasirike kwani waungwana wanasema ukianika kila kitu cha maisha yako mtandaoni basi tegemea kila tukio la maisha yako kuhojiwa kwenye mtandao! Mwanzisha thread hana kosa lolote. Yeye anaendeleza kilichoanzishwa na huyo jamaa!
 
Hivi nyie diamond mnamuona mjinga? Baada ya kuona ujinga anaofanyiwa aliamua kumfanyia vitimbwi zari aondoke mwenyewe.

Ivan alipofariki diamond aliumia sana ingawa hawezi kusema, yeye ni shaidi anaetambua jinsi ivan alivyokuwa akiumia, so alijua anaefata ni yeye.

Zari alitaka mtoto Wa kiume, akizani ndo atakuwa mrithi wa Mali, alichokifanya alikimbia south, akahakikisha anapata ujauzito coz alijua Ivan ana fatua wanaume tu.

Diamond alijua zari alifata pesa na si mapenzi.

Kama nadanganya nyie mushaonaga diamond hata kipindi anapenda south, milishaonaga akipost video akicheza na nillan?

Kuna kipindi alipost kuwa tifa ndio kipenzi chake pekee baada ya mama yake. Eti bado hamuelewi😂😂😂

Umalaya unaumbua. Mwanamke mwenyewe tamaa mwisho ni aibu
 
Jamani kwa nini mnapenda kuchokonoa familia za watu hivyo....??

wewe mtoa mada,una uhakika huyo unayemuita baba ni baba yako halisi??? umempima ukawa certain 100% ni baba yako????
 
Huu nao ni aina ya uchawi.fanya kazi ayo mengine waachie wenyew
 
1557755153494.jpg

Hivi nyie diamond mnamuona mjinga? Baada ya kuona ujinga anaofanyiwa aliamua kumfanyia vitimbwi zari aondoke mwenyewe.

Ivan alipofariki diamond aliumia sana ingawa hawezi kusema, yeye ni shaidi anaetambua jinsi ivan alivyokuwa akiumia, so alijua anaefata ni yeye.

Zari alitaka mtoto Wa kiume, akizani ndo atakuwa mrithi wa Mali, alichokifanya alikimbia south, akahakikisha anapata ujauzito coz alijua Ivan ana fatua wanaume tu.

Diamond alijua zari alifata pesa na si mapenzi.

Kama nadanganya nyie mushaonaga diamond hata kipindi anapenda south, milishaonaga akipost video akicheza na nillan?

Kuna kipindi alipost kuwa tifa ndio kipenzi chake pekee baada ya mama yake. Eti bado hamuelewi😂😂😂

Umalaya unaumbua. Mwanamke mwenyewe tamaa mwisho ni aibu
 
Ni wivu tuu! na kukosa kazi uzi gani huu vipi domo alikufata kukuambia au uliwahi kusikia media gani domo kasema mtoto si wake acha unaa kama ulikosa dingi tulia acha wenye madingi zao wale bata, au unatamani ukaishi pale kwa madiba wewe
 
Moses iyobo upo?
 
Back
Top Bottom