low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,323
- 1,496
Mkuu vipi! Za masiku! Usikasirike kwani waungwana wanasema ukianika kila kitu cha maisha yako mtandaoni basi tegemea kila tukio la maisha yako kuhojiwa kwenye mtandao! Mwanzisha thread hana kosa lolote. Yeye anaendeleza kilichoanzishwa na huyo jamaa!Hakuna tabia chafu na ya kisenge kama kufuatilia maisha ya mtu tena aliyetusua. Sifikirii kama huu uzi umeandikwa na mtu wa mikoani.
Huyajui ya kesho.... Hujui yatakukuta yapi
Hivi nyie diamond mnamuona mjinga? Baada ya kuona ujinga anaofanyiwa aliamua kumfanyia vitimbwi zari aondoke mwenyewe.
Ivan alipofariki diamond aliumia sana ingawa hawezi kusema, yeye ni shaidi anaetambua jinsi ivan alivyokuwa akiumia, so alijua anaefata ni yeye.
Zari alitaka mtoto Wa kiume, akizani ndo atakuwa mrithi wa Mali, alichokifanya alikimbia south, akahakikisha anapata ujauzito coz alijua Ivan ana fatua wanaume tu.
Diamond alijua zari alifata pesa na si mapenzi.
Kama nadanganya nyie mushaonaga diamond hata kipindi anapenda south, milishaonaga akipost video akicheza na nillan?
Kuna kipindi alipost kuwa tifa ndio kipenzi chake pekee baada ya mama yake. Eti bado hamuelewiπππ
Umalaya unaumbua. Mwanamke mwenyewe tamaa mwisho ni aibu
ππππππ
Moses iyobo upo?Ni wivu tuu! na kukosa kazi uzi gani huu vipi domo alikufata kukuambia au uliwahi kusikia media gani domo kasema mtoto si wake acha unaa kama ulikosa dingi tulia acha wenye madingi zao wale bata, au unatamani ukaishi pale kwa madiba wewe