Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Julai 26, 2024:
Bendera ya Olimpiki ilipandishwa ikiwa imegeuzwa, huku baadhi ya vituo vya televisheni vikionyesha bendera hiyo kwa mbali.
Julai 27, 2024:
Wanariadha wa Korea Kusini walitambulishwa kama raia wa Korea Kaskazini, na kupelea waandaaji kuomba radhi kwa lugha ya Kikorea kwenye mtandao wa X.
Julai 28, 2024:
Timu ya Sudan Kusini walipiwa wimbo wa Taifa wa Sudan badala ya Sudan Kusini kabla ya mchezo wa ufunguzi wa mpira wa kikapu dhidi ya Puerto Rico, jambo lililosababisha washangiliaji kuzomea timu hiyo.