Ni aibu kwa Mhimili wa Mahakama kutumia kikoa cha Blogspot hadi leo

Ni aibu kwa Mhimili wa Mahakama kutumia kikoa cha Blogspot hadi leo

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Screenshot_2024-03-27-12-55-41-840_com.brave.browser-edit.jpg

Mara kadhaa nimemskia Jaji Mkuu akisema katika utawala wake amefanya mabadiliko makubwa ya mifumo na kuendesha kila kitu kwa njia za Digitali.

Lakini cha ajabu leo nimekutana na ukurasa rasmi wa Website ya Mahakama nchini ikiwa kwenye mtindo wa Blogspot tena ikiwa na tahadhari ya kuwa hatarishi kwa mtu anayeingia.

Screenshot_2024-03-27-11-50-14-421_com.brave.browser.jpg

Pia, aina ya uandishi unaotumika kwa kweli si mzuri. Ni uandishi wa mipasho unaodhalilisha taaluma ya Sheria nchini.
 
Usije shangaa honourable Judge hajui hata kutumia word processer vizuri, achilia mbali mambo ya web.
 
Back
Top Bottom