Ni aibu kwa msanii kama diamond kuwatelekeza watoto alioahidi kuwasomesha

Ni aibu kwa msanii kama diamond kuwatelekeza watoto alioahidi kuwasomesha

lubu-kato

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
492
Reaction score
101
Diamond unakumbuka kuna watoto uliwapeleka kwa mbwebwe nyingi pale east africa international na haujawah kuwalpia chochote kile? Je ulfanya hvyo kutaka sifa?
 
mwehu kama kafanya huo ni ujinga.wanasheria wako wapi.......
 
Mbona alilitolea ufafanuzi siku kibao... I wonder kama wewe ndio umesikia hii ishu leo

Ufafanuz hausaidii kitu cha muhim n yy kuwajbka kama alkua hawez kuwasomesha c ange acha tu! Kulko kwatesa watoto wa watu
 
Back
Top Bottom