Ni aibu kwa mwanaume

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Ni aibu sana kwa mwanaume mwenye umri kwanzia miaka 25+ kuishi kwa mashemeji,wazazi au wapenzi wenu kwa kisingizio cha kumaliza chuo eti bado huna kazi

Hivi huoni hata aibu mtoto wa kiume kupigania remote na wadogo zako? Huoni aibu kuwa wa mwisho kulala na wakwanza kuamka unamfanya hadi dada yako hafurahii ndoa yake??
mageto yamejaa kibao nenda kapambane na changamoto za maisha


Mxieeeeeeeeeeeew
 
Hizo lips ni zako?
 
Mungu amsaidie dogo janja wetu last born aajiriwe permanent na kufanikiwa zaidi thou keshajiwekea msingi mzuri na hamtegemei tena big sister. We love you our young bro E.
Thanks God




Cc Smart911
 
Mkuu, ebu fanya umpe nauli huyo kakayako arudi tu kijijini. Maana unapo lalamika humu hakuna msaada wenye utapata.... tehteehhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…