Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehteh uzi unanihusu 100% huu kipindi namaliza chuo nilikaa kwa shem mpaka naajiriwa nani aende bushi thubutuuuuuuuuu!![emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sijui karest in peace lol maana alijuaa kuniandama
Lazima uwe mtumwaaa kutwa kujifanyisha kazi hata kama hutakiTehteh uzi unanihusu 100% huu kipindi namaliza chuo nilikaa kwa shem mpaka naajiriwa nani aende bushi thubutuuuuuuuuu!!
Ila shem alijiongeza akanitafutia kijishughuli make hom nilikua nakapiga sana makwenzi ka Housegirl kalikua kabishiiiii kajeuriiiiiii mimi muda wa kujibizana Nako Sina ni kwenzi tu.
Cc Smart911
Kusema ukweli hamna anayependa tena bora mwanamke kuliko.mwanaumee ....Kamaliza chuo bodi inamdai mkopo, wazazi hawana kipato na kazi hajapata. Sidhani kama hiyo kodi ataweza kulipa, cha msingi ni kumsaidia kwa hali na mali. Nina imani hata yeye hapendi kuwa hapo nyumbani jobless.
Kanikomeshea mtu humu, Hahahaha...... [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] kweeeeendraaaa.Ntakuongelea kingreza kama cha Mahondaw na wewe
Haha shem hakuwa na roho mbaya hilo tu. Mwanzo nilikua nawaongoza tu madogo ila kazi mpaka nipende na Ilikua kwa muda mfupiLazima uwe mtumwaaa kutwa kujifanyisha kazi hata kama hutaki
Shem wako haku kuzoza?Tehteh uzi unanihusu 100% huu kipindi namaliza chuo nilikaa kwa shem mpaka naajiriwa nani aende bushi thubutuuuuuuuuu!!
Ila shem alijiongeza akanitafutia kijishughuli make hom nilikua nakapiga sana makwenzi ka Housegirl kalikua kabishiiiii kajeuriiiiiii mimi muda wa kujibizana Nako Sina ni kwenzi tu.
Cc Smart911
Hahaha eti ban kwa mbali[emoji23] inaisha leo hiyo,anatuhumiwa kuvuruga mjadala wa wenzieSmart911 mwenyewee alianzisha ligi. Hahahahaha Pole mkuu naona kama banned kwa mbaaaaaliii.. What's wrong??
[emoji23] [emoji23] wenye vingreza vyaoKanikomeshea mtu humu, Hahahaha...... [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahaaha hapana besti niwale wanaojielewa dizaini kama walokole fulani... Mwenyewe nimetoka zangu chuo na vipedo vinini taiti anatikisa kichwa tu na hizo tempo alikuwa anamwambia sista mwambie dogo aende na nguo za heshimaaa.. Basi sista mlokole type one anaenda kuminunulia mibwanga hiooo kha!!Shem wako haku kuzoza?
Maana ndio tabia zetu kukula mashemela walio nona..... tehteehhh
aah....ndo maana nasikiaga vijikelele usiku kumbe ndo falaghaWewe bado mtoto hata ukisikia dada yako akiwa faragha hutambui kinachoendelea
Mungu amjaalie aendelee kuwa shemeji mwema kwako, na asiuge zile tabia zetu mbaya