Ni aibu kwa mwanaume

ko wa miaka 24 kushuka chini tuna ruhusiwa kukaa
 
[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tehteh uzi unanihusu 100% huu kipindi namaliza chuo nilikaa kwa shem mpaka naajiriwa nani aende bushi thubutuuuuuuuuu!!
Ila shem alijiongeza akanitafutia kijishughuli make hom nilikua nakapiga sana makwenzi ka Housegirl kalikua kabishiiiii kajeuriiiiiii mimi muda wa kujibizana Nako Sina ni kwenzi tu.



Cc Smart911
 
Lazima uwe mtumwaaa kutwa kujifanyisha kazi hata kama hutaki
 
Kamaliza chuo bodi inamdai mkopo, wazazi hawana kipato na kazi hajapata. Sidhani kama hiyo kodi ataweza kulipa, cha msingi ni kumsaidia kwa hali na mali. Nina imani hata yeye hapendi kuwa hapo nyumbani jobless.
Kusema ukweli hamna anayependa tena bora mwanamke kuliko.mwanaumee ....
 
Lazima uwe mtumwaaa kutwa kujifanyisha kazi hata kama hutaki
Haha shem hakuwa na roho mbaya hilo tu. Mwanzo nilikua nawaongoza tu madogo ila kazi mpaka nipende na Ilikua kwa muda mfupi
Lakini baada ya kupata tempo aaaaaaaaaaaaaaaaaaa kutoka asubuhi kurudi usikuu na sometimes wiki nzima hawanioni na hela nilijitahidi kutunza graduu nikajigharamia Japo nyingine walinitumia tumia kama pongezi pia nivopata ajira nikawa na kianzio wala sikuteseka sana
Mungu ambariki shemejiiii



Cc Smart911
 
Shem wako haku kuzoza?
Maana ndio tabia zetu kukula mashemela walio nona..... tehteehhh
 
Kusema ukweli hamna anayependa tena bora mwanamke kuliko.mwanaumee ....
Ndoivo mimi walikua wananiambia nikiwa na shida yoyote niseme lasivo eti ntakuwa hatarini haha wanaume wenyewe hawa akupe kitu bure lol!! Mbaya sana hio maisha


Cc Smart911
 
uvivu wa kifikira licha ya kupata ki degree, jifunze kujitegemea maana unakuta kidume kinang'aa kumbe hata hakijui gharama na badgeti ya siku
 
Shem wako haku kuzoza?
Maana ndio tabia zetu kukula mashemela walio nona..... tehteehhh
Hahaaha hapana besti niwale wanaojielewa dizaini kama walokole fulani... Mwenyewe nimetoka zangu chuo na vipedo vinini taiti anatikisa kichwa tu na hizo tempo alikuwa anamwambia sista mwambie dogo aende na nguo za heshimaaa.. Basi sista mlokole type one anaenda kuminunulia mibwanga hiooo kha!!


Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…