Jeshi la Polisi Tanzania limeonekana likizingira ofisi za CHADEMA Mikocheni hadi leo hii sijui sababu hasa za kufanya hivi ni nini. Kuna matukio mengi ya uhalifu yanaendelea nchini ni vyema polisi wakasambazwa kushughulikia matukio haya kama walivyasambazwa kushughulika na waandamanaji.