Ni aibu kwa Rais Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki

Inaashiria wewe ni kibaraka wa wakoloni weusi, na kuna fisadi mmoja anakulipa hela ili kuandika upuuzi.
stili nyumba ya vibaraka waropokaji wa mabwenyenye ya magharibi na vibaraka wa kanisa katoliki nchini Tanzania ni korokoroni tu, hamna namna nyingine gentleman
 
No reform No Election hadi sasa imeshafanikiwa kwa 💯 tunaishukuru sisiemu kwakufanikisha hilo kiurahisi kabisa
 
Samia kichwani hamna kitu kabisa!

Hakuwachaguliwa kuwa mgombea mwenza na makamu wa Rais kwa sababu ya merit.

Alichaguliwa kwa sababu ya DEI tu.

Ndiyo, hata Tanzania mambo ya DEI yapo.
 
Mbona ccm wanazunguka jukwaani na kuongea ujinga nawala hawakamatwi?
Mwenyezi alizusha taharuki ya chadema kutaka kununua virusi na hajakamatwa kuulizia, mchuuzi msigwa alisema Mbowe mwizi na hakuguswa...hii nchi kunawatu wanajiona wamuhimu saana nahamu Mungu awadhalilishe sikumoja nayo yatiwe gerezani
 
Masasi yana jibu hoja za maneno na maandishi?
 
Unawaonea mwanangu. Huo uwezo wataupata wapi wakati wameamua kuwa machawa na si binadamu?
 
Bibi wa kizanzibar ana hoja gani?. No reform no elections.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…