Wananchi tufungue kesi mahakanani kupinga katazo hiliYaani imefika wakati sasa wafanya maamuzi wa siasa za nchi ni Polisi
Waziri anasimamisha mikutano ya kisiasa kwa kutumia Polisi kwa kushindwa hoja.
Tuombe kesi ya Mama iende haraka tuondokane na huu ujinga
"Bora lawama kuliko fedheha"Wahenga walisema bora aibu kuliko fedheha. Ndicho kilichotokea.
Mahakama hii hii ya maelekezo, kesi ya Lissu dana dana umezisahau?!.Wananchi tufungue kesi mahakanani kupinga katazo hili
Maisha sio rahisi ivyo yule mbunge mpumbavu kama unaona ayo ni mawazo basi wewe ni mpumbavu wa mwisho serikali hii ambayo inachukua pesa za wastaafu nakufanyia mambo yao huo mfuko wa bodaboda ukijaa fedha serikali inaenda kuukopa na kununua magari ya kifahari unafahamu nini kuhusu mfuko wa road fund?Mbunge wa CCM anajenga hoja nzuri na positive, serikali wawekeeni mfumo mzuri bodaboda wachingishane elfu moja moja kila siku, kibubu kikikua wanaweza kufungua kampuni ya ujenzi na kuajiri injinia wao wakawa wanapata tenda za kujenga barabara, kesho yake heche anapanda jukwaani kutukana na kupotosha, Mbunge wenu mpumbavu wa jimbo hili kasema bodaboda kila siku mchangishwe elfu moja moja kama tozo zikajenge barabara je Mbunge huyu ni mavi sio mavi?
Sasa ndugu yangu kwa siasa za namna hii kuna haja gani ya kuruhusu mikutano ya hadhara?
Mbunge wako Mpumbavu alizomewa na Boda boda kabla hata Heche hajafika Mbeya. Unawaona Bodaboda wa nchi hii ni mbumbumbu na fuata upepo kama wewe? Bila kujali vyama wanavyoshabikia walikataa hoja ya kijinga ya kutozwa Kodi kijanja eti ikajenge barabara.Mbunge wa CCM anajenga hoja nzuri na positive, serikali wawekeeni mfumo mzuri bodaboda wachingishane elfu moja moja kila siku, kibubu kikikua wanaweza kufungua kampuni ya ujenzi na kuajiri injinia wao wakawa wanapata tenda za kujenga barabara, kesho yake heche anapanda jukwaani kutukana na kupotosha, Mbunge wenu mpumbavu wa jimbo hili kasema bodaboda kila siku mchangishwe elfu moja moja kama tozo zikajenge barabara je Mbunge huyu ni mavi sio mavi?
Sasa ndugu yangu kwa siasa za namna hii kuna haja gani ya kuruhusu mikutano ya hadhara?
Mfuko huo hautakuwa unadhibitiwa na serikali bali yenyewe mbunge kashauri itoe sapoti ya kitaalam, lkn pia sio lazima kwa kila bodaboda bali washawishiwe na wafanye kwa kuridhia.Maisha sio rahisi ivyo yule mbunge mpumbavu kama unaona ayo ni mawazo basi wewe ni mpumbavu wa mwisho serikali hii ambayo inachukua pesa za wastaafu nakufanyia mambo yao huo mfuko wa bodaboda ukijaa fedha serikali inaenda kuukopa na kununua magari ya kifahari unafahamu nini kuhusu mfuko wa road fund?