Ni Aibu Kwa Tanzania Kuzidiwa na Uganda, Rwanda na Kenya Kuvutia Utalii wa Mikutano Wakati tuna Utajiri wa Vivutio vya Utalii

Fukwe zote hizi coastal regions , mmekomalia utalii wa maporini huko Arusha mtapata wapi ushawishi? ...Srikali ichague mikoa ya pwani kama miwili then itoe promo katika kutambulika kama sehemu za utalii tuanze na pwani kupitia wilaya ya Mafia.
Tatizo lugha na hospitality ya standard za kitalii ni changamoto sana pwani
 
Kwani si kuna tour guide au huku Arusha wadudu ndio wanaongoza watalii ,?bona watu pwani wanafanya kazi kweny kampuni za kitalii .

Namjua Ally Jape ndio mzinzibar na mtanzania anapromote sana watalii tena personally sio kampuni.
Utalii sio tour guides tu,
Watalii hasa wazungu wanataka watu sharp, sasa pwani ukifika hotelin au bar wahudumu ni kama wanalazimishwa kufanya kazi zao.
Watalii wanataka nyama choma nzuri au kitimoto,
Watalii wanataka watu wanaojua Kingereza na lugha nyingine tofauti kwenye vyombo vya umma, mitaani, hotelini n.k
Kaskizini pia ni karibu na viwanja vya ndege vya kimataifa vya KIA na Jomo Kenyatta,Nairobi.
Kuna mambo mengi sana yanayochochea utalii kanda ya Kasazini na kuizidi pwani kwa mbali sana
 
Unaweza kuwa na resources zote ukakosa akili, zipo nchi Ulaya hazina resources zozote lakini ni tajiri na watu wake wanaishi maisha mazuri.

Shida ni akili tu.
Sahihi.
 
Tutasema sana, tutaelekeza sana, SHIDA KUBWA INABAKI NANI UNAYEMSHAURI?..

yapo mengi sana yakufanya kuleta watalii hapa ambayo wala hayahitaji degree/diploma bali akili ndogo tu ya std 7, SHIDA INABAKI NANI WAKUFANYA?
 
Fukwe zote hizi coastal regions , mmekomalia utalii wa maporini huko Arusha mtapata wapi ushawishi? ...Srikali ichague mikoa ya pwani kama miwili then itoe promo katika kutambulika kama sehemu za utalii tuanze na pwani kupitia wilaya ya Mafia.
Mi nashangaa ...sawa utalii wa mapori ni mzuri huko Arusha ...
Lakini hawaoni utalii wa fukwe hasa Mafia ?
Mafia inatakiwa kujengwa kumbi za mikutano ..
Mafia inahitaji kutangazwa sana ..
Mafia inatakiwa uwanja wa kisasa wa ndege ..kisha wataona impact yake
 
Aibu kubwa, CCM wanatawala hii Nchi tokea Uhuru walichofanikisha ni upigaji mkubwa wa fedha za Umma na Mikopo ya Umma.
 
Huku Arusha ni sehemu wamawekeza wana share kweny mahoteli , hata mikutano ni huko yaani balaa .
 
Fukwe zote hizi coastal regions , mmekomalia utalii wa maporini huko Arusha mtapata wapi ushawishi? ...Srikali ichague mikoa ya pwani kama miwili then itoe promo katika kutambulika kama sehemu za utalii tuanze na pwani kupitia wilaya ya Mafia.
Kwa akili yako hiyo kama ya samaki chewa unadhan utalii ni kulalia mchanga pekee kma mamba??
Watu wenye suruali fupi na makobazi akili zao fupi pia
 
Kwani si kuna tour guide au huku Arusha wadudu ndio wanaongoza watalii ,?bona watu pwani wanafanya kazi kweny kampuni za kitalii .

Namjua Ally Jape ndio mzinzibar na mtanzania anapromote sana watalii tena personally sio kampuni.
Kwani mmezuiwa ku promote utalii?? Arusha ina kosa gani?? Mmekalia uvivu na kupiga soka vibarazani
 
Kwa akili yako hiyo kama ya samaki chewa unadhan utalii ni kulalia mchanga pekee kma mamba??
Watu wenye suruali fupi na makobazi akili zao fupi pia
Sasa we kashfa za nn ? Akili ya kula mauchafu ya nguruwe ndio maana unaropoka , hapo umekimbia kwenu .
 
The question ❓ for you, have you been in south Africa and when was that
 
Fukwe zote hizi coastal regions , mmekomalia utalii wa maporini huko Arusha mtapata wapi ushawishi? ...Srikali ichague mikoa ya pwani kama miwili then itoe promo katika kutambulika kama sehemu za utalii tuanze na pwani kupitia wilaya ya Mafia.
Nadhani shida sio vivutio maana tunavyo vingi shida kubwa za msingi.

1- Gharama kubwa kufanya utalii nchini angalia gharama za ma hotel huko Serengeti ni bora kwenda Dubai. Mimi kama mtanzania nikitaka ku book Serengeti wiki na Hotel nitakimbia mwenyewe ni expensive sana kuliko kwenda nje. watalii wengi cost ni factor kubwa kwenye maamuzi yao waende wapi.

2- Efficiency sijui kiswahili fasaha ya hili neno kwenye Immigration au tuseme airport zetu. ukiweka system unachukua dakika chini ya 5 umetoka Airport bila usumbufu watu watakuja tu. Tuangalie nchi kama Malaysia, Dubai unafika hakuna kujaza makaratasi wala nini, unatoa passport hata visa hutoi jina lako liko link na passport unagongewa na sim card unapewa dakika 2 uko nje. Sasa njoo TZ mtalii anafika na furushi la makaratasi utasema anaenda kuomba kazi. Toeni ukiritimba huu wa ki analog.

3- Gharama za usafiri kubwa sana Tz na utalii. package za utalii sio za kiushindani. Wapunguze gharama ili tuvutie watu wengi kuja, gharama ni factor kubwa sana kuvutia na kwanini ziwe kubwa sana? wafanyakazi nchi hii ni cheap sasa zinatoka wapi? au tamaa tu tunaona akija mtalii fursa kumnyonya tu, akiondoka haji tena. tunataka mtu akiondoka anakoenda aisimulie nchi yetu kwa mazuri. Tanzania beautifully, cheap, good facilities, Airport efficiency ni top, ukarimu top.....
 
Well said, Tanzania gharama ni kubwa sana biashara ni watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…