Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kuwa na vivutio haitoshi, hii mindset ndio ina gharimu utalii wa tz. Lazima uutangaze, uvutie watu. Uhangaike.Kila nchi inavivutio uachage ujinga
USSR
Lack of networking skillsKuwa na vivutio haitoshi, hii mindset ndio ina gharimu utalii wa tz. Lazima uutangaze, uvutie watu. Uhangaike.
Kenya hawana vivutio vingi kuliko tz, lakin wanapokea wageni kuzid tz, wanatuzid wapi?
Kuna mtu amewahi highlight hili, cost za utalii tz ziko juu kuliko nchi nyingine east africa, na cost haziendani na huduma wanazopata.Well said, Tanzania gharama ni kubwa sana biashara ni watu
Kabisa ni mtu mwenye maono na connection sanaYule mkurugenzi wa AICC aliyehamishwa juzijuzi, Mr Efraim Mafuru angetufikisha mbali sana kwenye hii Sekta. Alikuwa anaiona kesho kabla wengine hawajaamka.
Wasimamizi wengi hawajasoma ujasiriamali. In entrepreneurship we learn how to do business not about businessKuna mtu amewahi highlight hili, cost za utalii tz ziko juu kuliko nchi nyingine east africa, na cost haziendani na huduma wanazopata.
Tanzania ni nchi iliyo jaa viongozi vilaza kuwahi kutokea lakin ni nchi yenye wajinga wengi zaidShirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.
Cha kushangaza Tanzania imeshika imeshika nafasi ya 5 ikizidiwa na Nchi za Rwanda,Uganda na Kenya.
My Take
January Amefuta Mradi wa Kujenga Kumbi kubwa na za Kisasa za Kilimanjaro International Convention Centre-Arusha badala yake ameelekeza Kodi zetu kujenga Magorofa kwenye Nchi za watu Kwa madai kwamba tutaingiza pesa.
Pesa zipi wakati biashara tunaiacha nyumbani? Hatuwezi kuwa Taifa ambalo hatuna consistency Kila mtu anakuja na mipango yake.Tukatae upigaji huu Mpya wa Bwana January.Pia soma Utalii wa Mikutano na Makongamano(MICE): Tanzania yapanda hadi namba 5 Africa kutoka namba 15
=====
The International Congress and Convention Association (ICCA) has released its 2024 ranking for the most popular destination for important meetings in 2023. The ranking, released on May 13, 2024, recognised South Africa as the most popular destination for important meetings in 2023.
According to ICCA’s Africa Geographical Ranking, South Africa emerged as leader, followed by Rwanda, Kenya, Egypt, and Uganda as the top five most popular destinations for important meetings in 2023. The other African countries in the top 10 rankings were Tanzania, Zambia, Zimbabwe, Ethiopia, Mozambique, and Niger.
Despite being Africa’s largest market by size, Nigeria was ranked the 14th most popular destination for important meetings in 2023. The ICCA noted that while geographical divisions serve administrative purposes, they may not always align with the collective interests and potential of regions.
Commenting on the report, Senthil Gopinath, CEO of ICCA, said the ICCA team reviewed all the meetings submitted by members, resulting in a report that includes over 10,000 meetings in calendar year 2023.
“Our research team has performed exceptionally in compiling this comprehensive data. It’s a cornerstone for our association, providing invaluable insights that empower our members and enhance our community’s strategic positioning.”
Gopinath highlighted the importance of these rankings, stating, “International meetings and events can bring positive outcomes to all corners of the globe, and ICCA looks forward to continuing its role as a vehicle for change.”
To foster collaboration and enhance the visibility of certain regions on the international stage, the ICCA introduced an alternative ranking system that distinguishes geographical regions from ICCA Chapter Regions. The rankings were based on its 2023 ICCA Business Analytics Country and City Rankings
Wapi imeonyesha mradi wa Mk-ICC umefutwa?
Hiyo ni irrelevant, elimu ya ujasiria mali si kigezo. Wengi hawajui namna ya kuwavuta wawekezaji kwa kuja na mfumo ambao una adopt current financial state ya dunia.Wasimamizi wengi hawajasoma ujasiriamali. In entrepreneurship we learn how to do business not about business
PEC'S, personal entrepreneurial competences include Adapbility skills, this is my area of competence, I also have my innovation why business fail with possible solutions. Walioko kwenye huo mnyororo wa maamuzi Ndiyo tatizoHiyo ni irrelevant, elimu ya ujasiria mali si kigezo. Wengi hawajui namna ya kuwavuta wawekezaji kwa kuja na mfumo ambao una adopt current financial state ya dunia.
In other words , system iko rigid ,static haiendani na upepo uliopo
uchafu upi wa nguruwe??Sasa we kashfa za nn ? Akili ya kula mauchafu ya nguruwe ndio maana unaropoka , hapo umekimbia kwenu .
Mnamlaumu nani?Ulisikia wapi kuna utalii mikoa ya pwani ?
CCMKama unaongozwa na watu wa hovyo lazima uzidiwe
Hatari sn
Angalia unachoongea....Kwani nimetaja zanzibar , mbona unaropoka dog?uchafu upi wa nguruwe??
Mbona kipindupindu kinatwangq zanzibar badala ya Arusha?
Angalia status ya nchi wakati mji unapewa hadhi , ulikuwa bado upo kweny kangara za mzee wako .Mnamlaumu nani?
Watu wa Arusha ndio tuliwazuia nyie wa pwani kufanya utalii?
Acheni uvivu pambaneni msilaumu Arusha na Kilimanjaro kule watu wana akili ndio maana kuna utalii. Kama mbuga zipo hadi iringa, morogoro, lindi na ruvuma uliza kwanin watalii hamna?Angalia status ya nchi wakati mji unapewa hadhi , ulikuwa bado upo kweny kangara za mzee wako .
uvivu wenu mnalaumu wengine ndio maana mnaolewaAngalia unachoongea....Kwani nimetaja zanzibar , mbona unaropoka dog?
Sudan hii yenye vita?Mashindano ya olympic yanayoanza mwezi wa Saba Tanzania inapeleka wachezaji 4,Sudan kusini inapeleka 70 ,Kenya inapeleka 65 Sasa angalia huo uwiano ndio utagundua Tanzania ni kiazi