Ni Aibu Kwa Tanzania Kuzidiwa na Uganda, Rwanda na Kenya Kuvutia Utalii wa Mikutano Wakati tuna Utajiri wa Vivutio vya Utalii

Ni Aibu Kwa Tanzania Kuzidiwa na Uganda, Rwanda na Kenya Kuvutia Utalii wa Mikutano Wakati tuna Utajiri wa Vivutio vya Utalii

Kuna mtu amewahi highlight hili, cost za utalii tz ziko juu kuliko nchi nyingine east africa, na cost haziendani na huduma wanazopata.
Wasimamizi wengi hawajasoma ujasiriamali. In entrepreneurship we learn how to do business not about business
 
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.

Cha kushangaza Tanzania imeshika imeshika nafasi ya 5 ikizidiwa na Nchi za Rwanda,Uganda na Kenya.

My Take
January Amefuta Mradi wa Kujenga Kumbi kubwa na za Kisasa za Kilimanjaro International Convention Centre-Arusha badala yake ameelekeza Kodi zetu kujenga Magorofa kwenye Nchi za watu Kwa madai kwamba tutaingiza pesa.

Pesa zipi wakati biashara tunaiacha nyumbani? Hatuwezi kuwa Taifa ambalo hatuna consistency Kila mtu anakuja na mipango yake.Tukatae upigaji huu Mpya wa Bwana January.Pia soma Utalii wa Mikutano na Makongamano(MICE): Tanzania yapanda hadi namba 5 Africa kutoka namba 15

=====
The International Congress and Convention Association (ICCA) has released its 2024 ranking for the most popular destination for important meetings in 2023. The ranking, released on May 13, 2024, recognised South Africa as the most popular destination for important meetings in 2023.
South Africa ranked No. 1 destination for important meetings in Africa, Nigeria falls to 14th

According to ICCA’s Africa Geographical Ranking, South Africa emerged as leader, followed by Rwanda, Kenya, Egypt, and Uganda as the top five most popular destinations for important meetings in 2023. The other African countries in the top 10 rankings were Tanzania, Zambia, Zimbabwe, Ethiopia, Mozambique, and Niger.

Despite being Africa’s largest market by size, Nigeria was ranked the 14th most popular destination for important meetings in 2023. The ICCA noted that while geographical divisions serve administrative purposes, they may not always align with the collective interests and potential of regions.

Commenting on the report, Senthil Gopinath, CEO of ICCA, said the ICCA team reviewed all the meetings submitted by members, resulting in a report that includes over 10,000 meetings in calendar year 2023.
“Our research team has performed exceptionally in compiling this comprehensive data. It’s a cornerstone for our association, providing invaluable insights that empower our members and enhance our community’s strategic positioning.”

Gopinath highlighted the importance of these rankings, stating, “International meetings and events can bring positive outcomes to all corners of the globe, and ICCA looks forward to continuing its role as a vehicle for change.”
To foster collaboration and enhance the visibility of certain regions on the international stage, the ICCA introduced an alternative ranking system that distinguishes geographical regions from ICCA Chapter Regions. The rankings were based on its 2023 ICCA Business Analytics Country and City Rankings
Tanzania ni nchi iliyo jaa viongozi vilaza kuwahi kutokea lakin ni nchi yenye wajinga wengi zaid
 
Wasimamizi wengi hawajasoma ujasiriamali. In entrepreneurship we learn how to do business not about business
Hiyo ni irrelevant, elimu ya ujasiria mali si kigezo. Wengi hawajui namna ya kuwavuta wawekezaji kwa kuja na mfumo ambao una adopt current financial state ya dunia.
In other words , system iko rigid ,static haiendani na upepo uliopo
 
Ivi kumbe royal tour haijasadia kitu ilikuwa ni upigaji.
Watu wanateuana kwa kujuana na sio kwa ajili ya uwezo wake wa utendaji. Na Maza alisema uongozi hata kuku anaweza akawa kiongozi elimu sio lazima sana na huku mtendaji wa kata yeye anatakiwa awe na elimu ya diploma Ila mbunge hata la saba anatosha Mana ni uwezo.

Kikubwa saivi ni kufundisha vijana wajue uchawa unalipa. Unaweza ukamfungia Abdul kamba za viatu ukapata teuzi.

Kama binti akaajaliwa ukuu wa wilaya and regional commission ni kugusa mno.


Nyie someni kumbe hata la nne tu anatosha kuongoza Mana uongozi ni kipawa.


Haya yote Kuna kazee kamoja kametupelekea hapa
 
Hiyo ni irrelevant, elimu ya ujasiria mali si kigezo. Wengi hawajui namna ya kuwavuta wawekezaji kwa kuja na mfumo ambao una adopt current financial state ya dunia.
In other words , system iko rigid ,static haiendani na upepo uliopo
PEC'S, personal entrepreneurial competences include Adapbility skills, this is my area of competence, I also have my innovation why business fail with possible solutions. Walioko kwenye huo mnyororo wa maamuzi Ndiyo tatizo
 
Angalia status ya nchi wakati mji unapewa hadhi , ulikuwa bado upo kweny kangara za mzee wako .
Acheni uvivu pambaneni msilaumu Arusha na Kilimanjaro kule watu wana akili ndio maana kuna utalii. Kama mbuga zipo hadi iringa, morogoro, lindi na ruvuma uliza kwanin watalii hamna?
 
Back
Top Bottom