Ni Aibu Kwa Tanzania Kuzidiwa na Uganda, Rwanda na Kenya Kuvutia Utalii wa Mikutano Wakati tuna Utajiri wa Vivutio vya Utalii

Fukwe zote hizi coastal regions , mmekomalia utalii wa maporini huko Arusha mtapata wapi ushawishi? ...Srikali ichague mikoa ya pwani kama miwili then itoe promo katika kutambulika kama sehemu za utalii tuanze na pwani kupitia wilaya ya Mafia.
Unataka watu wakashangae maji ya bahari? Aun unafikiri bahari ipo huko kijijini mafia tu?
 
Acheni uvivu pambaneni msilaumu Arusha na Kilimanjaro kule watu wana akili ndio maana kuna utalii. Kama mbuga zipo hadi iringa, morogoro, lindi na ruvuma uliza kwanin watalii hamna?
Nan kalaumu Arusha mbona una chuki za kishamba , nimesema wazidi kutanua utalii mpaka wa beaches ...Punguza kukariri watu .

Unachukia kwani mji ni wa baba ako ?
 
Unataka watu wakashangae maji ya bahari? Aun unafikiri bahari ipo huko kijijini mafia tu?
Unaambiwa Fukwe unasema maji πŸ˜› πŸ˜› walimu wa Tanzania wanapata changamoto sana kufundisha
 
uvivu wenu mnalaumu wengine ndio maana mnaolewa
Soma kwanza cha kukurupuka kama umekunywa maji ya choo , Arusha pekee haitaoshi Tanzania kufika mbali kweny utalii bado kuna sehemu nyingine zinatakiwa kuwekezwa ....Kaangalie Fukwe zinavyoingia watu pesa ndefu mambo ya wanyama ni zamani.

Wazungu wa zoo kibao
 
Wapi nimesema Arusha inatosha? We unalaumu na kuisimanga Arusha eti maporini huko pwani kuna mji kama Arusha? Ukiacha Dar?? Utalii kufubaa pwani ni kosa la watu wa Arusha?
Mwambieni bimkora apambane
 
Sisi hela za kujenga facilities za mikutano makamba anaenda kujenga real estate Kenya na Congo yule dogo sijui anakili au matope
 
Wapi nimesema Arusha inatosha? We unalaumu na kuisimanga Arusha eti maporini huko pwani kuna mji kama Arusha? Ukiacha Dar?? Utalii kufubaa pwani ni kosa la watu wa Arusha?
Mwambieni bimkora apambane
Wapi nimelaumu ? Nimekuambia ufanyiwe promo sehemu nyingine kama pwani , kule zanzibar na huko Arusha kwenu wapi kuna watalii wengi?

Punguza ushamba , bora ukae kimya , kaangalie Mombasa kama unaweza kufanansha na takataka yako .!
 
Ulisema Arusha ni maporini sasa ndio ujue watalii wamependa hizo pori wakiwepo mabwana zake waarabu ( Mfalme wa Dubai ana hunting block) Arusha. Pwani tafuteni mbinu ya kuvuta watalii sio kulaumu waliofanikiwa
 
Tunawaambia kila siku Elimu tunayotoa kwa wasomi wetu haikidhi mahitaji ya Dunia ya sasa. Mnajisifia Nimesoma UDOM , UDSM Wakati kichwani hamna kitu
Sasaivi ndio hakuna kitu kabsaa, tunalalamika uzembe na uvuvi ulioko kwenye ofisi za serikali lkn ukiangalia kwa makini ni vijana hawahawa wa 1990 ndio wengi maofisini na ndio wavivu kupindukia.
 
Ulisema Arusha ni maporini sasa ndio ujue watalii wamependa hizo pori wakiwepo mabwana zake waarabu ( Mfalme wa Dubai ana hunting block) Arusha. Pwani tafuteni mbinu ya kuvuta watalii sio kulaumu waliofanikiwa
Kule utalii gani zaidi ya mapori πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› ...Wakati inapewa hadhi ya utalii ulikuwa wapi ?AU hujui ?
 
Kule utalii gani zaidi ya mapori πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› ...Wakati inapewa hadhi ya utalii ulikuwa wapi ?AU hujui ?
Kwani utalii ni nini kwako??
Mapori sio sehem ya vivutio? Alaf unakariri mkoa wa Arusha/Manyara sehem kubwa ni semi arid savanna wala hakuna mapori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…