Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii nimeisikia jana tu tena kwa bahati mbaya sana nikiwa kwenye gari na kwa vile kulikuwa na foleni nikaona ni vema nipate matokeo ya mechi kati ya Yanga na Kagera , nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na Tangazo la dawa za nguvu za kiume kutoka Kigogo Mbuyuni ! wanaosikiliza matangazo ya mpira kupitia redio hii ni mashahidi .
Kama redio ya Taifa imefikia kutangaza mambo haya basi bila shaka hii nchi imekwisha kuliko tunavyodhani , hakuna wenye viwanda tunavyoambiwa vimeota kama uyoga wanaotangaza bidhaa zao hadi tuanze kuokoteza matangazo ya kiboya kama haya ?