Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimeisikiliza kwa bahati mbaya sana mkuuUnaanza kusikiliza hiyo redio? Mbona sources ni nyingi sana kupata matokeo mkuu
Hiyo redio ilitufaa miaka hiyo hatukuwa na option, ingawa watu wa mpakani na nchi jirani tulikuwa tunasikiliza redio za majirani zetu.
Ona sasa yaliyokukuta
Cc aYubu rioba[emoji41]Ukiona hivyo na wao ni wadau wa hizo mambo na sio ajabu washazithibitisha kwa kutumia [emoji28]
πππ
Je imesajiliwa na tfda na kufata protocal zote za kiafya kama ndio hamna shida sababu hayo matatizo kweli yapo kwa watu na watuwanapata shida ....ila kama haijasajiliwa ni kweli tunahali mbayaHii nimeisikia jana tu tena kwa bahati mbaya sana nikiwa kwenye gari na kwa vile kulikuwa na foleni nikaona ni vema nipate matokeo ya mechi kati ya Yanga na Kagera , nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na Tangazo la dawa za nguvu za kiume kutoka Kigogo Mbuyuni ! wanaosikiliza matangazo ya mpira kupitia redio hii ni mashahidi .
Kama redio ya Taifa imefikia kutangaza mambo haya basi bila shaka hii nchi imekwisha kuliko tunavyodhani , hakuna wenye viwanda tunavyoambiwa vimeota kama uyoga wanaotangaza bidhaa zao hadi tuanze kuokoteza matangazo ya kiboya kama haya ?
Hakuna kitu kama hichoJe imesajiliwa na tfda na kufata protocal zote za kiafya kama ndio hamna shida sababu hayo matatizo kweli yapo kwa watu na watuwanapata shida ....ila kama haijasajiliwa ni kweli tunahali mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app