The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tupo kwenye Karne ya science na technology, Karne ya information age Karne Ambayo vitu vinatakiwa viende Kwa Kasi.
Sasa huwa najiuliza hawa watendaji wetu mbona wamelala usingizi mzito. Ni ushamba au kutokutaka kutimiza wajibu wao.
Hawa hawa watumishi kwenye majumba Yao kuna Camera kila Kona, Kwa nini barabarani hakuna camera hasa miji mikubwa.
Camera zinamsaada mkubwa sana hasa pale tatizo linapojitokeza barabarani, leo hii utashangaaa mfano ajali imetokea au watu kukwaruzana watasubiri traffic afike aanze kupima kutokea kushoto kwenda kulia kitu Ambacho kinapoteza muda na kusababisha foleni.
Traffic cameras zitawaamsha madreva na uendeshaji wao wa hovyo hovyo pengine hata kupunguza ajali.