glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Salaaam
Moja kwa moja kilicho nifanya niandike Uzi huu
Ni hii hali au tabia ya wadada wanao tumia mikorogo yaan mafuta ya kujichubua ngozi
Unakuta mdada alikua mweusi Kama chungu cha maharage bas kaona picha za kina wema sepetu walivyo na rangi (+weupe) naye anataka kufanna nao
Ajabu ni pale anapo anza kutumia sasa hiyo mikorogo
Yaan unakuta mdada Ana rangi fanta coka cola..
Usoni mweupee shuka chini sasa miguu ndo utajuta kumuangalia yaan ni mweusi mpaka unajiuliza hivi Hana kioo nyumban???
Au wakati Ana anza kutumia alikosa MTU wa kumshauri atumie kwa namna Gan??
Hii n aibu Sana jmn sasa avae kimini ndo utakufa mbavu...
Ni hayo tu wadafa jamn pendeni uafrika
Uzungu waachien wenyew