Ni aibu mdada kuwa na rangi fanta coca kisa mkorogo

Kwa upande wa pili na sisi wanaume pia moja ya tatizo maana tumezidisha mno kufagilia wadada wenye rangi ya mtume
 
Wazoee tu mkuu
FB_IMG_1518267318987.jpg
 
Kwa upande wa pili na sisi wanaume pia moja ya tatizo maana tumezidisha mno kufagilia wadada wenye rangi ya mtume
Hilo sio tatizo LA kusema na wao waanze kujichubua.
OK fine wajichubue basi kwa hatua sio kua na rangi mbili mbili
 
Mi hata siwaelewagi wanawake wenzangu sijui huwa wanajisikiaje wanapojiangalia kwenye kioo wamekuwa weupe ilihali ni weusi Kiuhalisia!
 
Jaribu kuwauliza then tuletee mrejesho
 
nadhani kila mmoja anajaribu kukidhi haja za moyo wake. Kama anaona kapendeza tumuachie uhuru. Kansa atahangaika nayo mwenyewe
 
N kweli lakin MTU angalia basi na jins ya kujipaka ili usigeuke kituko
 
wengi wa watu hawa huwa wanamaumivu ya ndani yanayotokana na historia zao. ni watu wanaohitaji msaada na zaidi ya kuonyeshwa upendo wa dhati na kuaminiwa katika jamii na hali hii hupungua kwao kwa wao kuacha kabisa.
Ahsante
 
Back
Top Bottom