Ni aibu mdada kuwa na rangi fanta coca kisa mkorogo

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
Salaaam
Moja kwa moja kilicho nifanya niandike Uzi huu
Ni hii hali au tabia ya wadada wanao tumia mikorogo yaan mafuta ya kujichubua ngozi
Unakuta mdada alikua mweusi Kama chungu cha maharage bas kaona picha za kina wema sepetu walivyo na rangi (+weupe) naye anataka kufanna nao
Ajabu ni pale anapo anza kutumia sasa hiyo mikorogo
Yaan unakuta mdada Ana rangi fanta coka cola..
Usoni mweupee shuka chini sasa miguu ndo utajuta kumuangalia yaan ni mweusi mpaka unajiuliza hivi Hana kioo nyumban???
Au wakati Ana anza kutumia alikosa MTU wa kumshauri atumie kwa namna Gan??
Hii n aibu Sana jmn sasa avae kimini ndo utakufa mbavu...
Ni hayo tu wadafa jamn pendeni uafrika
Uzungu waachien wenyew
 
Mi nataman ningekua black beuty man nilipat nafas ya kuwa model lakin waliitaj mweus ten km lam ss watu wanaend dukan kuutafut huo weupe wakat tulio nao tunautamn jamn kwel tujifunze kulidhika
 
Mi nataman ningekua black beuty man nilipat nafas ya kuwa model lakin waliitaj mweus ten km lam ss watu wanaend dukan kuutafut huo weupe wakat tulio nao tunautamn jamn kwel tujifunze kulidhika
Ubarikiwe we unaejitambua
 
Ndo mana mi namwangaliaga mtu kuanzia utosini mpaka unyayoni
 
Sio wadada tu hata wanaume wanajichubua sana tu. Nao ujumbe uwafikie
 
wengi wa watu hawa huwa wanamaumivu ya ndani yanayotokana na historia zao. ni watu wanaohitaji msaada na zaidi ya kuonyeshwa upendo wa dhati na kuaminiwa katika jamii na hali hii hupungua kwao kwa wao kuacha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…