Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
Wasalam mabibi na mababu,
Yaani huwa nashangaa hii kero ya maji iliyopo Mkata - Handen, yani maji ni shida balaa ukiangalia huu mji tayari una Halmashauri, tayari una hospital ya wilaya Kitendo cha kukosa Maji ya uhakika ni fedheha sana.
Yaani wananchi wa nateseka sana na kukosa Maji, wananchi wanafanya kutumia maji kwenye mifereji na vidimbwi, yan ilo bwawa la idara maji kila siku ni kukauka. Kulikuwa na Mradi maji kutoka korogwe mabomba yake nayo hayatoi ata tone.
Pamoja na kuwa karibu na mto wami lakini bado hali ya maji mkata ni kitendawili kisicho na majibu.
Mheshimiwa Juma Aweso embu jitathimini sana hivi unashindwa kupeleka huduma ya maji mkata kweli?