KERO Ni aibu Mji kama Mkata - Handeni unaokua kwa kasi kukosa maji ya uhakika

KERO Ni aibu Mji kama Mkata - Handeni unaokua kwa kasi kukosa maji ya uhakika

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
DSM Tu yenyewe ina maeneo mengi Tu hayana maji.Unashangaa huko mkata.
 
Handeni Oops Napajua Sana
Hasa Hapo Sindeni Shule Ya Msingi

Maji Yao Yanatoka Korogwe Mto Pangani
 
Back
Top Bottom