Ni aibu msomi kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kufanya

Pia unapaswa kufahamu biashara si kila mtu anaweza kufanya na kwenda shule sio kigezo cha moja kwa moja kwamba utaweza biashara acha kuwadhihak wanazuoni.
 
Ktk nchi hii wasomi walichokiweza ni kulalamika tu, ukiwepo wewe.
 
Hakuna ubaya kufanya biashara yoyote cha muhimu tu ni uifanye tofauti na wengine...


Cc: mahondaw
 
Mleta mada umekurupuka,sikuungi mkono. Kuisaidia jamaa km msom lazima uangalie demand ya watu unaowasaidia.Huez kubuni biashara ambayo haina demand ktk Jamii.Km unapoishi wanademand chips just do,km vipodozi fanya hivo sio kuangalia umesoma nini
 
Nani kakwambia kuwa Masters au bachelor degree ndio usomi na kuelimika?. Kasome vizuri maana ya Elimu, kisha rudi hapa uandike tena.
 
Nani kakwambia kuwa Masters au bachelor degree ndio usomi na kuelimika?. Kasome vizuri maana ya Elimu, kisha rudi hapa uandike tena.
Pala_macho ka Bundi le profeseri aliyeokotwa jalalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…