i like thisMimi sioni tatizo akiamua kufanya hata hizo, ila baada ya miaka 5 asiwe kama muuza chips au mlima tikiti wa kawaida.
Sio kila msomi atakua na resource za kumuwezesha kuanzia juu...
msomi na asiyesoma wakiwa wanafanya kitu kimoja nategemea vision na realization zao zitakua tofauti
Huyo Kitana unajua jinsi alivyoua wavuvi huko Ziwa Victoria,jinsi alivyopiga deal za Magendo ya sukari huko ziwani,alivyokua anawakata mikono wavuvi(wanaita kukata kaushi) huko ziwani?Hao wakina Gachuma unaowasema wameanza kupiga magendo huko Boda Kenya na Musoma way back 1970's.Huo ni mtazamo wako, lakini ukweli ni kwamba everyone run his/her own race to be rich and wealthy.
Umeshindwa kuelewa kuwa hakuna biashara ya wasomi na wasio wasomi, leo Gachuma ambaye hana elimu ya degree lakini ni tajiri mkubwa hapa Tz, bado Chacha Kitano ni tajiri mkubwa asiye na elimu lakini anamiliki vivuko vya kwenda sengerema kutokea Mwanza.
Hao matajiri hawajasoma lakini wanafanya biashara za kisomi tena kubwa tu, kwahiyo kwa logic yako ni kuwa wasomi wasimiliki vivuko maana hata wasiosoma wanamiliki vivuko vya mizigo na abiria. Wasomi wasifanye kazi ya kupaki na usambazaji kama anayofanya gachuma.
Wasomi fanyeni yenu kwa akili, kama huna mtaji mkubwa anzia chini kisha ukuze biashara yako.
Nadhani uko sawa Ila kukuweka sawa zaidi ni kwamba hao wasomi tuwajudge kwa vision zao au strategic plans zao. Mfano kaamua kulima tikiti then what next baada ya kupata pesa?Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Biashara gani iyo [emoji125] [emoji125]Nadhani uko sawa Ila kukuweka sawa zaidi ni kwamba hao wasomi tuwajudge kwa vision zao au strategic plans zao. Mfano kaamua kulima tikiti then what next baada ya kupata pesa?
Vijana wengi wa kitanzania wazazi wetu hawana utamaduni kama wahindi kwamba atleast ukiimliza shule unaweza kupata mtaji wa kufanya kitu.
Mimi binafsi natafuta mtaji kwenye kilimo ili nije kufanya biashara ya ndoto yangu ninayoiota toka utotoni
Mkuu umeulizwa wewe ni mfanyabiashara?
Nadhani hujamuelewa mleta mada!Umetoa changamoto nzuri lakini ya kukandia wajasiriamali wadogo. Mtu anaweza kuwekeza kwenye hivyo vitu unavyoviona wewe vya ovyo na akatoka sana kimaisha kushinda wewe na elimu yako na mawazo makubwa makubwa! Kazi ya elimu ni pamoja na kukuwezesha kuboresha hali ya chini ya maisha/utendaji kuwa wa hali bora zaidi. Hivyo mkulima wa matikiti akiwekeza na kulima kitaalam anaweza kufika mbali sana kiuchumi na anaweza hata kulenga masoko ya nje ya nchi kwa vile atakuwa na elimu na ufahamu mpana zaidi wa kidunia.
Alafu kitu kingine nataka kujua vp wewe unefanya lipi la tofauti na sahivi upo wapi na unajishughulisha na nn?
Sio kuimport tu na kutengeneza kalamu za bic kwenye kiwanda kidogo cha nyumbani,usione mtu kafika mbali,kafanya foul nyingi sanacha kwanza hela mkuu,
naskia biashara ya kwanza kwanza kufanywa na Mengi alikuwa anaimport kalamu za Bic kutoka Kenya (biashara ambayo ingefanywa na mtu yoyote mwenye mtaji ) na jamaa alikuwa msomi, angeamua kufanya kazi za wasomi labda leo angekuwa nyumbani baaada ya kutumbuliwa na rais anasubii kupangiwa kazi nyingine
Yule aliyepata umalikia wa nguvu anauza uji magogoni kwa package quality.Oktobar man , kama hujaelewa basi ujue tu kujiajiri kuna tija kuliko kuajiriwa . Ukiona msomi anafanya kazi za ajabu ujue keshapiga mahesabu . Kuna msichana alimaliza chuo (sheria) lakini anauza uji kwa chupa
Upepo wapesa mwenye uchu wa maendeleo.Umeandika ukweli mtupu!!
Nchi za wenzetu wasomi wanatumia usomi wao kufanya tafiti na vumbuzi mbali mbali ambazo mpaka zinatufikia sisi... Kuanzia kwenye smartphone all the way to weapons!!
Sisi tupo tu, ndio kwanza mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza anasema anasoma kozi ambayo haipendi, alafu unatarajia mtu kama huyo afanye makubwa akimaliza chuo?
Wasomi tubadilike, hata kama hatuwezi wafikia wenzetu basi tufanye vitu kwa ufanisi kidogo...
Lazima tukubaliane na ukweli, hatuzitendei haki elimu zetu.Upepo wapesa mwenye uchu wa maendeleo.
Samahani mkuu, hii comment yako imenifanya nifall in love na weweMimi sioni tatizo akiamua kufanya hata hizo, ila baada ya miaka 5 asiwe kama muuza chips au mlima tikiti wa kawaida.
Sio kila msomi atakua na resource za kumuwezesha kuanzia juu...
msomi na asiyesoma wakiwa wanafanya kitu kimoja nategemea vision na realization zao zitakua tofauti